Thread Starter
JF-Expert Member
- Mar 16, 2017
- 1,378
- 1,045
yey kam yey kuanzsha uzi ilkuwa 2011aiseee
Wewe unauhakika sio "dada"? Tunampa member jinsia kwa anavyojitanabahisha humu yeye mwenyewe na sio kwa member mwingine kumsemea jinsia yake.Eti huyu ",dada" unauhakika kama ni Dada?
Kuna huu uzi ni wa muhengaWakat wa jambo forum ilikuwa shangwe sana humu.
Hili wale waliokuwawashusha nondo wako wapi siku hizi? Ama ndo kubadilika na Hali ya maisha kiasi kwamba mada bobevu tumeziona nimepitwa n wakati?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimejiunga mwaka jana, bado sijui kufunga PM, waweza nielekeza?Yani unajisifu miaka 10 ya JF lakini hata kufunga PM hujui WTF.
Ahsante saana joszehatimae umetmiza miaka 10. Pongezi sana NAHUJA
Sent from my Android phone
Shukrani mtanihongera mkuu
ahsante Shunie mwayaHongera sana kwako
Ahsante sana mno babalao2.Heko
Huyo Muhenga yuko wapi siku hizi!hahahahah, kweli kabisa huyo ndie aliyeniambia habari za kuingia jamboforums miaka hiyo na akanielekeza namna ya kufungua a/c hahahaha
hahahahah, kweli kabisa huyo ndie aliyeniambia habari za kuingia jamboforums miaka hiyo na akanielekeza namna ya kufungua a/c hahahaha
Staa tiviii kama sijakoseaHuyo Muhenga yuko wapi siku hizi!