Miaka 10 ndani ya JF

Miaka 10 ndani ya JF

Eti huyu ",dada" unauhakika kama ni Dada?
Wewe unauhakika sio "dada"? Tunampa member jinsia kwa anavyojitanabahisha humu yeye mwenyewe na sio kwa member mwingine kumsemea jinsia yake.


Member kasema yeye ni dada kwanini nisimuite dada?

Haujasahihisha ulichotudanganya hapo juu kwamba kaanza kupost mwaka huu nenda kasahihishe umekosea.
 
Back
Top Bottom