Miaka 10 ndani ya JF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sasa ukinifungulia uzi dada ananijua nani humu zaidi ya watu kujua I'd ya shunie
Hahahahahah
Hujui wanavyochamba eeehh
 
Najua hilo jamanii dear
Ila kama ushaanza kusikia na sauti jamani, nitaambia nini watu mimi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nimecheka kwa sauti siwezi kukusaliti hata wewe ni ndugu yangu
 
Umenikumbusha Rajon Rondo wa wakati ule. Alikuwa na pasi za hatari, akikupiga hiyo fake sasa utatamani kuomba sub. Nini Imani nawe ulikuwa machachari kama yeye mpaka ukapewa hilo jina.
Nilikuwa najitahidi kiasi chake...mimi ndio wale ukiniona utanidharau ila tukianza kucheza hutaamini kitakachokupata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…