Miaka 10 ndani ya JF

Miaka 10 ndani ya JF

Kivipi yaani mkuu
2011 ndio nilanza kuijua jf, 2012 nikajiunga rasmi kama mwana chama kwa jina zawadi nikaitumia mpaka 2014. Ikawa kila nikiingia naambiwa nimekosea password. Nilivyofuatilia zaidi kwenye mada nilizoanzisha nikakuta zimeanzishwa na idawa badala ya zawadi.
Nikawa sina jinsi ndio nikafingua hii 2014

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa najitahidi kiasi chake...mimi ndio wale ukiniona utanidharau ila tukianza kucheza hutaamini kitakachokupata
Basketball ya zamani was so fun to watch, Ila hii ya akina Curry, Point Guard kaanza kudrive akifika at the Centre tayari kashaatempt 3 Pts inakera kwa kweli. Ule udambwi dambwi wa Macross Over unapungua eti saizi unakuta Centre Yuko nje ya D anavizia naye afunge 3 Pts.
 
Sasa hivi timu nzima ni 3pts shooters!
 
Back
Top Bottom