Miaka 10 ndani ya JF

Hongera RRONDO kwa uzi huu... You can feel proud kwamba you loved n adored.. Keep neutral n calm.. Accept positive challenges and ignore abusive n negative ones. Halafu keep calm

Jr[emoji769]
Ha ha ha braza umesisitiza 'keep calm'
 
Tafsiri ni pana sana na kuna siku utanikumbuka. Kuna wadau utakutana nao nje ya forum kwa upendo wako kishapo ukashindwa kuwatimizia mahitaji yao kwa sababu kadha
Ni hao hao watakaorudi JF kwa ID nyingine na kuanza kukuponda kwa chochote utakachopost.. But because you know the secret of the game you JUST KEEP CALM
Ha ha ha braza umesisitiza 'keep calm'

Jr[emoji769]
 
Hao wa aina hio mbona tayari nishakutana nao. Washatukana,washaponda na wanaendelea lakini kwasababu ya hicho ulichosisitiza 'keep calm' yakaishia hewani tu.
Thanks for reminding me
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…