Congratulations.
Nina kama 2 years humu, nimefahamu mengi niliyokuwa siyafahamu.
Uzuri upi boss?
Ok nimekupataNilimuuliza yule jamaa aliyekwambia kuwa pamoja na miska 10 yako jf alitegemea ushushe vitu vizuri, nami nimemuuliza kuwa anataka uzuri gani zaidi ya ushuhuda huu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera mkuu, miaka kumi humu lazima ujifunze mengi, ufundishe mengi lakini pia upate marafiki wengi.
Mzee hukuwahi "kupata kitu" ndani ya miaka hiyo kumi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimepata "vitu" vingi sana mkuu
Ungemalizia hata kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hukuvuta ndani kabisa mkuu? Au ilikuwa 'one time'!!!
Vitu nilimaanisha elimu, connections....mkuu ulikuwa na maana gani?
@eli79 nimecheka mbavu sinaAah sawa mkuu wangu.
ID inaibwaje?Dah hongera boss mimi nina mwaka wa sita kwa id hii baada ya id ya zamani kuibiwa!
Ila sijawahi kupata rafiki wala pm yoyote
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha huyu alikuwa ananitega mjadala ubadilike. Btw jf 6-10yrs was so cool[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungemalizia hata kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@eli79 nimecheka mbavu sina
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh na wewe bado miezi kadhaa tu uingie kwenye 10-year club