Miaka 10 ndani ya JF

Miaka 10 ndani ya JF

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hongera mkuu, miaka kumi humu lazima ujifunze mengi, ufundishe mengi lakini pia upate marafiki wengi.

Mzee hukuwahi "kupata kitu" ndani ya miaka hiyo kumi?
Nimepata "vitu" vingi sana mkuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hukuvuta ndani kabisa mkuu? Au ilikuwa 'one time'!!!
Ungemalizia hata kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vitu nilimaanisha elimu, connections....mkuu ulikuwa na maana gani?
Aah sawa mkuu wangu.
@eli79 nimecheka mbavu sina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ungemalizia hata kimasihara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]@eli79 nimecheka mbavu sina

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha huyu alikuwa ananitega mjadala ubadilike. Btw jf 6-10yrs was so cool
 
Back
Top Bottom