Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Akhsante..Asante. Karibu mdogo wangu
Soon nitakutembelea[emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akhsante..Asante. Karibu mdogo wangu
Wewe besidei lini jamaniHongera mkuu...
Ile kitambo wengi wetu tulisahau password, vile Jambo Forums sehemu kubwa mijadala ilikuwa siasa kwa kiasi kikubwa...
Unajipata mtu ulikuwa unaingia tu kama guest kusikiliza miziki haswa zilipendwa (kwa ile embedded online player, baadaye ilikuja tolewa)..
Naam mkuu, same ID since day one...na pasipo kutiwa lock upAsante, na wewe mwezi ujao unagonga one decade! Nimekumbuka hio miziki. Mijadala ilikuwa mizito unachungulia tu kwa mbali
Hata sijui, around Feb nadhaniWewe besidei lini jamani
Hahhaha hii miaka 45 unaiona midogo kweliLini umezeeka eti dada
OoohHata sijui, around Feb nadhani
Tutakata cake etiHata sijui, around Feb nadhani
Na kweli!!Hahhaha hii miaka 45 unaiona midogo kweli
Oooh
Keki yangu utaituma kwa raha leo [emoji39][emoji39]
Hivi inatakiwa kuweka party eenh [emoji848][emoji848]Tutakata cake eti
Weeeh bado sijafikia bwana usinikatishe kula tamu nahisi nitafika 50Na kweli!!
Hivi ndo upo menopause eehhh
Hahaha pacha leo umekuwaje? Unanifanya nione aibu ujuePacha wewe ni kifaa
Ndio na mimi nasubiria mwalikoHivi inatakiwa kuweka party eenh [emoji848][emoji848]
10 years ago kuna wenzetu humu walikuwa darasa la 5
HAPANAHivi inatakiwa kuweka party eenh [emoji848][emoji848]
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]😀 😀 😀