Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilikuwa mkubwa saaanaa!2010 ulikuwa la 3 au vidudu?
Cake na heinekenn kwakweli nachagua heinekennEeeehhh
Umebadili gia angani jamani
Najaribu kumbuka ni lini niliweka post iko na sauti [emoji848]Duh hivi wenzetu mnasikia sauti humu?!!!
Ebu ngoja kwanza ebu niambie kwanza wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Niwacheee, niambie basi!
Nilijua we utakuwa upande wangu
OhoooooNa wewe unaamini kabisa sasa RRONDO nitaonana nae wapiii
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najaribu kumbuka ni lini niliweka post iko na sauti [emoji848]
EwaaaaaHahaha...
Umenikumbusha nyanya yetu moja hivi, alikuwa anapenda nyama na meno mdomoni hana...
Basi siku mkichoma nyama utampata yupo na kisu, anakata nyama ndogo ndogo anamumunya na kumeza...
[emoji23][emoji23][emoji23]Acha kabisa sauti ya kubembeleza unajiuliza huyu mtu muhenga au vipi
Huyo simuwezi walaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mdondo wako wa wassapOhooooo
Siku hizi JF mnasikiliza hadi sauti!! Hivi unaniona niko na mdondo eeeh
MmmmmhhhhhCake na heinekenn kwakweli nachagua heinekenn
Hahhaha ajue kabisa kwamba mimi na wewe hatutaweza kuonanaHa ha ha unamtosa kiaina! Tutaonana tena pale pale Bucket
Kuna mtu kweli nataka kusikia sauti yake dada!!Ebu ngoja kwanza ebu niambie kwanza wewe
Niwe upande wako kwa vipi na mimi nataka keki? [emoji3][emoji3]Nilijua we utakuwa upande wangu