SIM
JF-Expert Member
- Oct 25, 2011
- 1,795
- 1,304
Hahaaa sina labda tufungue tuwe tunashea[emoji3][emoji38]Hongera sana! Vip auna aid nyingine? [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa sina labda tufungue tuwe tunashea[emoji3][emoji38]Hongera sana! Vip auna aid nyingine? [emoji23] [emoji23]
HahahaWakati Internet Cafe zinaanza hazikua na wale wa vyumba, sasa watu walikua washamba sana! Dah Siku moja Tanga mjini pale kuna Wanafunzi wa Eckenforde wakaja si wakaingia www.worldsex.com wakafungua, kumbe spika volume iko juu! Aaghhh dakika tu utulivu wa Cafe nzima ukaharibika! Hawajui wazimie wapi! Ni miguno tu......
Tufungue basi 😂
HahahahaAsante mkuu....umeipoteza au umeikimbia?!