Smiles
JF-Expert Member
- Aug 24, 2009
- 1,231
- 107
Kadi ulirudisha lini? Ulimkabidhi nani? Mbona kikao cha jana ulihudhuria?
Aiseee.....sijawahi kuwa na kadi ya chama chenu!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kadi ulirudisha lini? Ulimkabidhi nani? Mbona kikao cha jana ulihudhuria?
Aiseee.....sijawahi kuwa na kadi ya chama chenu!!!!
Huyu mwanachama huwa anapenda sana kutingisha kiberiti
Sasa inakuwaje, hutaki kushehereka nami katika sherehe hii ya miaka 10 mitakatifu? Anyway, rule namba tatu inakuruhusu kushehereka na ze fainest!:A S 13::A S 13:Sasa The Finest inakuwaje kuhusu vile tulivyoongea???
Kadi yako ya ucnachama tumeshakutayarishia.....usijali najua viongozi waandamizi hawatakiwi kuona hii.....:A S wink::A S wink::A S wink:
nipo upinzani kama kawa..karibu, hautaregreat!
Sasa inakuwaje, hutaki kushehereka nami katika sherehe hii ya miaka 10 mitakatifu? Anyway, rule namba tatu inakuruhusu kushehereka na ze fainest!:A S 13::A S 13:
Sasa The Finest inakuwaje kuhusu vile tulivyoongea???
Kadi yako ya ucnachama tumeshakutayarishia.....usijali najua viongozi waandamizi hawatakiwi kuona hii.....:A S wink::A S wink::A S wink:
Heheheh.....the idea actually is to.........:tonguez:
Ahaaaaa unakumbushia rule namba 3 that is there to stay
The idea actually ni kwenda zero pub tunashusha valuer+pepsi+safari wota za kutosha baada ya hapo CHUDA RAHA
Nisomeje hapo?
Usijali kiongozi....nakuahidi kuwa "ur FORMER member" atakuwa kwenye mikono salama kabisa pale kambi ya upinzani.............:tonguez:
Usiusemee moyo wa Beauty muache aseme yeye mwenyewe
How blind are u.....? we are not talking about Beauty here.....:mad2:
Do u want me 2 be tht soft kwa huyu mjamaa? no plzzzThat is very rude.......rethink...
HA HA HA HA HA HA HA HA HA mbona unawa protect sana members wako wape huru au unaogopa watarudi chama tawala usijali
Do u want me 2 be tht soft kwa huyu mjamaa? no plzzz