Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Vipi umeionaje staili yangu?[/QUOTE]

style yako naifananisha na sytle moja ya zamani ya kucheza katika mwimbo wa kwasakwasa.
 
Usijali kiongozi....nakuahidi kuwa "your member" atakuwa kwenye mikono yangu salama ............:tonguez:

Ahaaa! Ok Noted with many thanks!:blah::blah::blah::blah::blah:
 
niseme mara ngapi? na huyo ndio mkuu wa kambi ya upinzani, kwahiyo ananijua vizuri.

How good you are kwenye INFIDELITY kuwa upinzani hakumaanishi kuwa haufuati sheria na katiba za nchi kwahiyo pamoja na kuwa UPINZANI natumaini zile sheria mama za INFIDELITY mnazitimiza hatuna haja ya kuanza kufanya follow up
 
Daaah!! kazi ipo.
 
hehehehehe!
jamani eeh habari za asubuhi jamani!

kwanza kabisa na[enda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa kunipa nafasi ya kuwawakilisha ''jamiiforums'' members wote KWA UJUMLA WENU kwenye hafla fupi ya kumpongeza kaka yetu mpendwa kwa kutimiza miaka kumi ya ndoa.

RIPOTI NI KWAMBA tuliinjoi sana kwakweli nawashukuru sana kwa kunipa fursa hiyo ya kuwawakilisha kama ''the king'' wenu!.

NImegundua dawa nyingine ya usingizi kwa siku ya jana jamani...nilidhani ni muda muafaka tukapeana uzoefu!UKICHANGANYA GRANTS,RED WINE,KONYAGI NA SERENGETI YA BARIDI kwakweli unatengeneza concetrated PIRITON!kwa hiyo bwana acid na timu yako ya chemba chukueni formula hiyo ingieni maabara then mje hapa!

nitarudi jamani,naendesha tukutuku sasa natoka home kerege nakuja dar natafuta cafe tuzungumze kidogo
 
SIFA NA UTUKUFU APEWE BWANA KWA KUKUPATIA MKE ALIYE MWEMA NAMNA HIYO.
UBARIIWE SANA, JIEPUSHE NA MA INFIDELITY, USIJE UKAMLETEA MWENZIO MARADHI BURE.
:hand:
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
Orait! Hii nayo nainote, ntamkabidhi katibu kwa ajili ya logistics!

kwa kubadilisha huku maneno na figures, napata shida kuamini kama kweli jana umefikisha niaka 10, naona kama jana ulitaka kuandika 1, ukakosea ukaweka 10.
 
hehehehehe!
jamani eeh habari za asubuhi jamani!

kwanza kabisa na[enda kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa kunipa nafasi ya kuwawakilisha ''jamiiforums'' members wote KWA UJUMLA WENU kwenye hafla fupi ya kumpongeza kaka yetu mpendwa kwa kutimiza miaka kumi ya ndoa.

RIPOTI NI KWAMBA tuliinjoi sana kwakweli nawashukuru sana kwa kunipa fursa hiyo ya kuwawakilisha kama ''the king'' wenu!.

NImegundua dawa nyingine ya usingizi kwa siku ya jana jamani...nilidhani ni muda muafaka tukapeana uzoefu!UKICHANGANYA GRANTS,RED WINE,KONYAGI NA SERENGETI YA BARIDI kwakweli unatengeneza concetrated PIRITON!kwa hiyo bwana acid na timu yako ya chemba chukueni formula hiyo ingieni maabara then mje hapa!

nitarudi jamani,naendesha tukutuku sasa natoka home kerege nakuja dar natafuta cafe tuzungumze kidogo

Hahahahaha! Grrrrrrrrrrrrrrrrr! Huo mchanganyiko hata mimi nimeukubali!

Hakyanani hiyo ni NUSU KAPUTI! :llama::llama::llama::llama::llama:
 
kwa kubadilisha huku maneno na figures, napata shida kuamini kama kweli jana umefikisha niaka 10, naona kama jana ulitaka kuandika 1, ukakosea ukaweka 10.
hehehehe!ushindwe na ulegee na hizo saspishas zako na watu WAJIEXPRESS KABISA BAADA YA KUKULEGEZA
 
SIFA NA UTUKUFU APEWE BWANA KWA KUKUPATIA MKE ALIYE MWEMA NAMNA HIYO.
UBARIIWE SANA, JIEPUSHE NA MA INFIDELITY, USIJE UKAMLETEA MWENZIO MARADHI BURE.
:hand:
Ahsante kamanda! Miaka kumi sijawahi kumletea hata kaswende! Sheria mama ya infidelity inatukataza wajumbe kutembeza bakora peku peku!!
 
Hahahahaha! Grrrrrrrrrrrrrrrrr! Huo mchanganyiko hata mimi nimeukubali!

Hakyanani hiyo ni NUSU KAPUTI! :llama::llama::llama::llama::llama:
KIONGOZI LEO TUTAKUWA NA PHASE TWO PALE KAUNTA!......kuna mengi ya kuyaongea pale!nipo bunju sasa nakuja mdogo mdogo tauni
 
hehehehe!ushindwe na ulegee na hizo saspishas zako na watu WAJIEXPRESS KABISA BAADA YA KUKULEGEZA
Naona bado hazijaisha kichwani! Ile miksa kweli balaa!
 
KIONGOZI LEO TUTAKUWA NA PHASE TWO PALE KAUNTA!......kuna mengi ya kuyaongea pale!nipo bunju sasa nakuja mdogo mdogo tauni

Yaa! Baada ya Jana kujumuika na wake zetu, leo ni zamu ya kina Eliza.....Jana walitumisi sana.....waaaaaaaooooo!!!
 
Back
Top Bottom