MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Ahsante sana queen.....uzoefu nilioupata sasa naruhususiwa kuoa mke wa pili. Nafasi ipo?
Sijui hii kikatiba inaruhusiwa? Wapi katibu?
Shukran kwa niaba yake......
Hapo ndipo ulipokosea sasa. Unaogopa mechi kabla hujaingia uwanjani. Utafungwa!takuombea upate mzoefu mwenzio ikibidi awe na eksipiriensi ya 12 years,sisi wengine bado wachanga KUKUMUDU mkuu wa ma-infii.
hongera tena kwa kututunzia wifi yetu na yeye kututunza kaka yetu.
Hilo itabidi lifanyike praktikale!:moony::moony::moony:kaizer=asprin
asprin=kaizer
ndo mana ukiwepo ww najihisi niko na asprin.
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.
Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.
Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)
Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.
Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.
Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.
Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!
Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!
Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:
Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!
:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
kaizer=asprin
asprin=kaizer
ndo mana ukiwepo ww najihisi niko na asprin.
Caren ni jina la binti wangu wa pili.Kwa hiyo nakushukuru kama mwanangu! Ila dah!Congrats my brother,
I must confess that despite your weaknesses as an INFIDEL you have maintained the dignity and santity of marriage. I must congratulate your wife because it is said BEHIND EVERY SUCCESFULL MAN THERE IS A WOMAN ENGINEERING THINGS. I am certain for you the saying is BEHIND EVERY SUCCESFUL CHEATING HUSBAND THERE IS AN INTELIGENT WOMAN WHO CHEATS LIKE YOU BUT IS CLEVER ENOUGH TO HIDE IT FROM YOU AND PRETENDS THAT SHE DOESNT KNOW OF YOUR CHEATING.
Happy 10th Anniversary.
dah..sasa queen,,umeona uzi wa sijui churo? isije ikawa ndo yale yale:A S 13:
dah..sasa queen,,umeona uzi wa sijui churo? isije ikawa ndo yale yale:A S 13:
Caren ni jina la binti wangu wa pili.Kwa hiyo nakushukuru kama mwanangu! Ila dah!
Where is my dear chairman and his excellency SG? There is something here to discuss! We need to meet ASAP! Yaani My dear darling caring beautiful queen and saint wife cheating on me? OMG!
Mimi niko availabo....ngoja nimemchek cheaman....ila King Mswati nae awepo.....hii ishu kubwa hii..
Tatizo King Mswati amekuwa dikteta sasa hivi anataka kujimilikisha kila kitu yeye
Anadhani king haondolewi madarakani eh....asome historia ya ethiopia/ufaransa etc...
Caren ni jina la binti wangu wa pili.Kwa hiyo nakushukuru kama mwanangu! Ila dah!
Where is my dear chairman and his excellency SG? There is something here to discuss! We need to meet ASAP! Yaani My dear darling caring beautiful queen and saint wife cheating on me? OMG!
ngoja nikauchungulie ili nijue ni yale yale yapi unayoyaongelea.
Inaelekea chama hiki kina tatizo maana wengi wanaonekana kushindwa kuitekeleza sheria mama namba 3: Kitakufa soon