Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Miaka 10 ndani ya ndoa: Ahsante sana mke wangu!

Babu bosi wangu ni a He ..........unataka kusemaje hapo? Ntanunaje??!!
 
Babu bosi wangu ni a He ..........unataka kusemaje hapo? Ntanunaje??!!

Hahaha! angalia usicheke sana asije akafanya uchakachuzi! Manake midume mingine ikimwona binti kacheka inajua tayari ameshakubaliwa hata kabla hajatongoza.
 
Ahsante sana queen.....uzoefu nilioupata sasa naruhususiwa kuoa mke wa pili. Nafasi ipo?

Sijui hii kikatiba inaruhusiwa? Wapi katibu?

takuombea upate mzoefu mwenzio ikibidi awe na eksipiriensi ya 12 years,sisi wengine bado wachanga KUKUMUDU mkuu wa ma-infii.
hongera tena kwa kututunzia wifi yetu na yeye kututunza kaka yetu.
 
takuombea upate mzoefu mwenzio ikibidi awe na eksipiriensi ya 12 years,sisi wengine bado wachanga KUKUMUDU mkuu wa ma-infii.
hongera tena kwa kututunzia wifi yetu na yeye kututunza kaka yetu.
Hapo ndipo ulipokosea sasa. Unaogopa mechi kabla hujaingia uwanjani. Utafungwa!

kaizer=asprin
asprin=kaizer
ndo mana ukiwepo ww najihisi niko na asprin.
Hilo itabidi lifanyike praktikale!:moony::moony::moony:
 
Congrats my brother,
I must confess that despite your weaknesses as an INFIDEL you have maintained the dignity and santity of marriage. I must congratulate your wife because it is said BEHIND EVERY SUCCESFULL MAN THERE IS A WOMAN ENGINEERING THINGS. I am certain for you the saying is BEHIND EVERY SUCCESFUL CHEATING HUSBAND THERE IS AN INTELIGENT WOMAN WHO CHEATS LIKE YOU BUT IS CLEVER ENOUGH TO HIDE IT FROM YOU AND PRETENDS THAT SHE DOESNT KNOW OF YOUR CHEATING.

Happy 10th Anniversary.

Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.

Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.

Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)

Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.

Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.

Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.

Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!

Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!

Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:

Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!

:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
 
sawa mkuu, na hongera, ila achana na mambo ya takwimu (kama hizo za "ten years")....... jamabo la msingi, ndoa yako ina furaha... mafanikia kimaisha etc.....
 
Congrats my brother,
I must confess that despite your weaknesses as an INFIDEL you have maintained the dignity and santity of marriage. I must congratulate your wife because it is said BEHIND EVERY SUCCESFULL MAN THERE IS A WOMAN ENGINEERING THINGS. I am certain for you the saying is BEHIND EVERY SUCCESFUL CHEATING HUSBAND THERE IS AN INTELIGENT WOMAN WHO CHEATS LIKE YOU BUT IS CLEVER ENOUGH TO HIDE IT FROM YOU AND PRETENDS THAT SHE DOESNT KNOW OF YOUR CHEATING.

Happy 10th Anniversary.
Caren ni jina la binti wangu wa pili.Kwa hiyo nakushukuru kama mwanangu! Ila dah!

Where is my dear chairman and his excellency SG? There is something here to discuss! We need to meet ASAP! Yaani My dear darling caring beautiful queen and saint wife cheating on me? OMG!
 
sawa mkuu, na hongera, ila achana na mambo ya takwimu (kama hizo za "ten years")....... jamabo la msingi, ndoa yako ina furaha... mafanikia kimaisha etc.....

Thanks.... Got you big boy!!
 
Caren ni jina la binti wangu wa pili.Kwa hiyo nakushukuru kama mwanangu! Ila dah!

Where is my dear chairman and his excellency SG? There is something here to discuss! We need to meet ASAP! Yaani My dear darling caring beautiful queen and saint wife cheating on me? OMG!

Mimi niko availabo....ngoja nimemchek cheaman....ila King Mswati nae awepo.....hii ishu kubwa hii..
 
Caren ni jina la binti wangu wa pili.Kwa hiyo nakushukuru kama mwanangu! Ila dah!

Where is my dear chairman and his excellency SG? There is something here to discuss! We need to meet ASAP! Yaani My dear darling caring beautiful queen and saint wife cheating on me? OMG!

Mkuu mweka hazina wala usiwe na wasi wasi....kwani wewe unacheat kwa muktadha wa mama matesha? kama jibu siyo basi na yeye hacheat hata kwa dawa....kumbuka IMANI hata kiasi cha punje ya haradali inaweza kumove milima

sasa wewe tulia zako kuwa na IMANI iliyo kuu kabisa hakuna wife anacheat hapo

wapi valeur?
 
Inaelekea chama hiki kina tatizo maana wengi wanaonekana kushindwa kuitekeleza sheria mama namba 3: Kitakufa soon
 
Inaelekea chama hiki kina tatizo maana wengi wanaonekana kushindwa kuitekeleza sheria mama namba 3: Kitakufa soon

Sheria namba tatu inatekelezeka sana si unajua kila chama uwa ni clause ya CONFIDENTIALITY kwahiyo wengi wao baada ya kutekeleza sheria namba 3 huwa wanapenda kuwe na CONFIDENTIALITY na sisi kama hatuna ubaya na hilo kwenye chama
 
Back
Top Bottom