FirstLady1
JF-Expert Member
- Jul 29, 2009
- 16,789
- 5,401
Miaka kumi ni mwendo mzuri, ikifika ishirini, kama bado mtakuwa na bond nzuri kama hii basi pale ni mwanzo wa new friendship, i.e is like new dating in you!!! Na pale unaendelea kupiga goti kuombea ndoa yenu na ikifika 30 years ni celebration of your life achievements, together!!! Yaani hapa kama ni matatizo ya ndoa inakuwa kama simulizi kabisa, you enjoy, some with grandchildren!!! I love it!! Hongera sana mkuu, bado mwendo upo kaza buti kuimarisha mahusiano yenu!! Ndoa na iheshimiwe na watu wote, Mungu anachukia talaka!!!
Sijui mimi na mwanao huyo kwa Avatar tutatimiza miaka kumi usijali nitamuepusha na INFI
tena wewe mwanagu sikupi ng'o naona kama nitakuwa nimetoa sadaka ya kuteketezwa
FL1 you know how she really adores me kwa kweli i will do my best to keep her away from the INFI WORLD trust me, you know you can always count on me
Sema vizuri mkuu. Kwamba hayo yanaapply wakati wa uchumba. Kwa hiyo mtoto asiwe na wasi wasi ila baadaye ataishi kama wana Infii wengine. Ukizingatia na mama naye memba wa Infii. Hapo ulamba bingo!!
Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!
FL1 you know how she really adores me kwa kweli i will do my best to keep her away from the INFI WORLD trust me, you know you can always count on me
Mh mh....
Hapo hata ukiambiwa upige magoti utapiga...
Ili mradi tuu!!
Tarehe kama ya leo miaka kumi iliyopita ndipo nilipoanza maisha na huyu mke wangu.
Siwezi kutamba mi mwaminifu kivile, ila nashukuru sijawahi kufumaniwa wala kuhisiwa.
Sijawahi kumhisi wala kumfumania, kama ananicheat then she must be very smart (mwanachama hai wa ISC? katibu jina lake limokwenye list?)
Sijawahi kumchapa vibao wala kumtukana, pia sijawahi kutukanwa wala kunaswa vibao.
Tumewahi kukosana na kupishana kauli lakini hakuna jirani wala ndugu aliyejua.
Mi si mhudhuriaji mzuri kanisani, lakini watoto kanisani ni kama nyumbani kwao...matunda ya mama yao.
Naweza nisiwaone watoto kwa siku tano (mambo ya ulabu, na kuwahi kudamka asubuhi) lakini watoto wana afya njema na maendeleo yao shuleni ni mazuri sana....ahsante mke wangu!
Na mambo mengi sana anayafanya huyu mama, asingekuwepo sijui kama ningempata kama yeye!
Ahsante sana mke wangu...nakupenda sana....hakuna kama wewe! (Hizi infii ni tamaa za mwili, kudumisha mila na kuitikia wito wa necha, nisamehe bure mama watoto, sina jinsi kuzikwepa):loco::loco::loco:
Vijana nawasihi: Wapendeni wake zenu! Fuateni nyayo zangu Big Brother ODM!
:tea::A S thumbs_up::A S thumbs_up::A S-heart-2::A S-heart-2:
kumbe ukiwa unabembelza unatia huruma hivi..pole sana!!FL1 you know how she really adores me kwa kweli i will do my best to keep her away from the INFI WORLD trust me, you know you can always count on me
Ahsante kamanda....wanasemaga watu kuwa wanaume wasiopiga ulabu wana hobby zao nyingine...sijui ni kweli?
Kitu kiko uvunguni dada. Unategemea atafanya nini zaidi?
Mh mh....
Hapo hata ukiambiwa upige magoti utapiga...
Ili mradi tuu!!
kumbe ukiwa unabembelza unatia huruma hivi..pole sana!!
Asprin pls update za jana?
Weye navyokujua utakuwa uliingia home saa nane usiku na beer kichwani kitandani ukapanda na viatu