Miaka 10 sasa jukwaani

Kumbe unakimbia watu babu.
 
Sio cha kwangu... Ni KakaKiiza aliingia PM kubebisha mkongwe mmoja hivi... Mkongwe alivyotokea ndo nilijua jamaa lina kipaji cha kujificha. Sijui Celica ilipitia wapi maana nlishangaa tu haipo!
hahahahahaaa.. Naona ndo Siku alistaafu ubazazi
 
Uwiiiiiii, Ashukuriwe Ben bazazi mkuu kuleta huu Uzi. Nyie wazeee mnitunuku basi miye huyu mtoto. Anivasari hii angalao nasi tupone
Hhahahaaaa.. Kwani anniversary yako au ya Ben? Mbona unataka kupokea zawadi kabla ya Siku yako Sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…