Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Hongera Ben........ Miaka 10 si mchezo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc Kaka Kiiza Steven Robert Masatu Jiwe Linaloishi na Anko AsprinSahv AMU ni zilipendwa nimekaa kwa HOE sahv sisukumizwi wala sifyekwi
Hongera Ben........ Miaka 10 si mchezo
KaribuHongera Ben........ Miaka 10 si mchezo
Uzi umemuibuaUpo wewe!
Hahahaha, Uzi umemuibua bibieUpo wewe!
Sahv AMU ni zilipendwa nimekaa kwa HOE sahv sisukumizwi wala sifyekwi
Khaaaah... Kumbe kweli?? Shikamoo kwake huyo dadaMbn yupo,hkn cha uongo kinachoandikwa hapa
Hahahaha, Uzi umemuibua bibie
Shikamoo..kaka !!!Salimia wakubwa zako binti
Hahahahaaahebu toa kibali cha ukaguzi babu mjukuu wako mtiifu sana niteleze..I mean, nitekeleze.
Kumbe unakimbia watu babu.Umenifananisha na KakaKiiza ye alipoona mchuchu umekuja na kandambili akawahi kaunta, akajificha. Mchuchu ukajua mi ndo Kiiza... nilipotaka kuuonesha Kiiza ni yupi nikakuta njemba ishatimua. Nami nikaenda zangu kukojoa na kutokomea... Mzee Mtambuzi ndo anajua yaliyojiri baada ya hapo. Maana mzee yule hajuagi kuchagua kabisa...
Hapa mnaniharibia tu kwa Mzigua90 wakati nina kideti naye La Stanza weekend hii...
Marhaba binti hujamboShikamoo..kaka !!!
Hapana babuUmewaamini hao mabazazi?
HahahahaMa Bazazi yamenipa link
Inaonekana zoezi LA ukaguzi mnalipenda Sana. Basi chagueni Kati ya wewe babu na Mentor
Hhahahaaaa.. Kwani anniversary yako au ya Ben? Mbona unataka kupokea zawadi kabla ya Siku yako Sasa?Uwiiiiiii, Ashukuriwe Ben bazazi mkuu kuleta huu Uzi. Nyie wazeee mnitunuku basi miye huyu mtoto. Anivasari hii angalao nasi tupone
Kazi kwakoUwiiiiiii, Ashukuriwe Ben bazazi mkuu kuleta huu Uzi. Nyie wazeee mnitunuku basi miye huyu mtoto. Anivasari hii angalao nasi tupone