Miaka 10 sasa jukwaani

Hapo kwenye mapesa dada akee ndio umeongea haiwezekani ujue ufunge pm bila sababu
Hahahaha, dah kweli mmeamua kunishambulia Mtani hata wewe unanimaliza hivi hivi ?
 
Hahahaaa. Haya bana Mtani chichemi hapa kwenye uzi huu ntatafuta uzi mungine nikwambie ni wapi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya Mtani mie nasubiri uniiambiee
Nakimaliza wapi Mtani wakati ndio nimejionea hivyo. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Najua hakuwezi kuwa na sababu ingine banaaa.
Hahahaha
Hahahaaa. Umeonaeeee.
Uzuri na nyie mmefunga PM zenu ,sijui sababu ni nini ?
 
Haya Mtani mie nasubiri uniiambiee Hahahaha Uzuri na nyie mmefunga PM zenu ,sijui sababu ni nini ?
Hahahaaaa. Mie nilijikuta tu napenda kutembea na ufunguo huku majukwaani basi ikabidi nifunge tu na kufuli ule mlango ili niwe natembea nazo. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Swali la uchokozi hili Mtani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…