Miaka 10 sasa jukwaani

Miaka 10 sasa jukwaani

Hapo kwenye mapesa dada akee ndio umeongea haiwezekani ujue ufunge pm bila sababu
Hahahaha, dah kweli mmeamua kunishambulia
Na kweli aiseee.

Dada au ana mapesa mengi huku anaogopa atazihonga zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo anaona ajifungie tu kukwepa vishawishi.

[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Mtani hata wewe unanimaliza hivi hivi ?
 
Hahahaaa. Haya bana Mtani chichemi hapa kwenye uzi huu ntatafuta uzi mungine nikwambie ni wapi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Haya Mtani mie nasubiri uniiambiee
Nakimaliza wapi Mtani wakati ndio nimejionea hivyo. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Najua hakuwezi kuwa na sababu ingine banaaa.
Hahahaha
Hahahaaa. Umeonaeeee.
Uzuri na nyie mmefunga PM zenu ,sijui sababu ni nini ?
 
Haya Mtani mie nasubiri uniiambiee Hahahaha Uzuri na nyie mmefunga PM zenu ,sijui sababu ni nini ?
Hahahaaaa. Mie nilijikuta tu napenda kutembea na ufunguo huku majukwaani basi ikabidi nifunge tu na kufuli ule mlango ili niwe natembea nazo. 😂😂😂😂😂😂

Swali la uchokozi hili Mtani.
 
Back
Top Bottom