Ben Mugashe
JF-Expert Member
- Oct 9, 2008
- 999
- 617
- Thread starter
- #81
Mabazaz hawa na Kiongozi wao Nicas Mtei
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabazaz hawa na Kiongozi wao Nicas Mtei
Hahahaha, dah kweli mmeamua kunishambuliaHapo kwenye mapesa dada akee ndio umeongea haiwezekani ujue ufunge pm bila sababu
Mtani hata wewe unanimaliza hivi hivi ?Na kweli aiseee.
Dada au ana mapesa mengi huku anaogopa atazihonga zote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivyo anaona ajifungie tu kukwepa vishawishi.
[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Sema kweli jamani mwenyewe nimekuja nihakikishe nimekuta kufuliHahahaha, dah kweli mmeamua kunishambulia Mtani hata wewe unanimaliza hivi hivi ?
Unapajua banaaa Mtani. 😜😜😜Hahahaha, mtani bana,wapi kuna bonge la kufuli?
Hivi Nicas Mtei yuko wapi last time alikua na project bagamoyo nadhaniMabazaz hawa na Kiongozi wao Nicas Mtei
Hahahaha,si kweli mtaniUnapajua banaaa Mtani. [emoji12][emoji12][emoji12]
Hahahaaa. Umeonaeeee.Hapo kwenye mapesa dada akee ndio umeongea haiwezekani ujue ufunge pm bila sababu
Nakimaliza wapi Mtani wakati ndio nimejionea hivyo. 😀😀😀😀Hahahaha, dah kweli mmeamua kunishambulia Mtani hata wewe unanimaliza hivi hivi ?
Hahahaaa. Haya bana Mtani chichemi hapa kwenye uzi huu ntatafuta uzi mungine nikwambie ni wapi. 😀😀😀😀😀😀Hahahaha,si kweli mtani
Haya Mtani mie nasubiri uniiambieeHahahaaa. Haya bana Mtani chichemi hapa kwenye uzi huu ntatafuta uzi mungine nikwambie ni wapi. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
HahahahaNakimaliza wapi Mtani wakati ndio nimejionea hivyo. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Najua hakuwezi kuwa na sababu ingine banaaa.
Uzuri na nyie mmefunga PM zenu ,sijui sababu ni nini ?Hahahaaa. Umeonaeeee.
Duh ,ila na wewe si kuna kufuli umeweka au?Sema kweli jamani mwenyewe nimekuja nihakikishe nimekuta kufuli
Hahahaaaa. Mie nilijikuta tu napenda kutembea na ufunguo huku majukwaani basi ikabidi nifunge tu na kufuli ule mlango ili niwe natembea nazo. 😂😂😂😂😂😂Haya Mtani mie nasubiri uniiambiee Hahahaha Uzuri na nyie mmefunga PM zenu ,sijui sababu ni nini ?
Nawe pia umefunga lkn ujueHapo kwenye mapesa dada akee ndio umeongea haiwezekani ujue ufunge pm bila sababu
Hahahaha basi sawa,ila mie cjafunga kuna mlinzi nimemuweka 😛 😛Hahahaaaa. Mie nilijikuta tu napenda kutembea na ufunguo huku majukwaani basi ikabidi nifunge tu na kufuli ule mlango ili niwe natembea nazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali la uchokozi hili Mtani.
Haya Mtani mie nasubiri uniiambiee Hahahaha Uzuri na nyie mmefunga PM zenu ,sijui sababu ni nini ?
Duh ,ila na wewe si kuna kufuli umeweka au?
Sasa hivi nimeiacha wazi kujibu pm sio lazima kabisaNawe pia umefunga lkn ujue
Hata mm dada daaahHahahaaaa. Mie nilijikuta tu napenda kutembea na ufunguo huku majukwaani basi ikabidi nifunge tu na kufuli ule mlango ili niwe natembea nazo. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Swali la uchokozi hili Mtani.
Katibu wa Mabazazi mwezi ulopita nilikutana naye Gymkhana , eti naye anacheza Golf siku hizi. Bazazi lile limelipa fees 600K ili kunusanusa tuu wadudu wa kupiga mikasi.Hivi Nicas Mtei yuko wapi last time alikua na project bagamoyo nadhani
Ooh. Ya kweli hayo Mtani.Hahahaha basi sawa,ila mie cjafunga kuna mlinzi nimemuweka 😛 😛
Hahahaha, vzr vijana watakuja kuuliza uwape majibuSasa hivi nimeiacha wazi kujibu pm sio lazima kabisa