Miaka 10 sasa jukwaani

Miaka 10 sasa jukwaani

Miaka 10 si haba. Ngoja nami nipambane. Kwa namna navyokujua kila mwaka umekamata wachuchu 6. Hii ina maana nina mashemeji 60 hapa JF.

Shumalam waitu!
Babu mimi naiga nyanyo za watangulizi wangu..maana mm niliwahi kuja hapa lakn ww na KakaKiiza ndo mnaongoza katika mikeka ya mashemeji..
 
Bazazi naona linajipigia chapuo humu. Manina Mungu anakuona, sipati picha huko inbox kulivyo jaaa wadudu wa kupiga mikasi.
 
Bazazi naona linajipigia chapuo humu. Manina Mungu anakuona, sipati picha huko inbox kulivyo jaaa wadudu wa kupiga mikasi.
Masatu ww nilikupokea hapa kuwa na Adabu enzi zile unaomba kutumia desktop yangu ofsn.[emoji3] [emoji3] .. Watu mmetoka mbali sahv mna JF App..inbox yangu ilifungwa mwaka 2013 sababu nitazitoa hapa siku moja kwann niliomba ifungwe
 
Hahahahhahahahahhahah Manina zako Mwenyekiti wa Mabazazi. Members wenzio akina Nicas naona nao wamejitwisha majukumuni.
Desktop uipatie wapi uamsho wewe. Nakukumbusha tuu Mungu anakuona.

Leo Joni tunanae tufanye mahesabu nione umenasa wangapi

Back
Top Bottom