Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,223
- 96,083
Nitoe siri?Hahahaaaa. Lol.
Pole sana Mtani kuwa mpole / fuata sheria za humu kama Mie Mtani wako hapa ili udumu na id moja banaa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nitoe siri?Hahahaaaa. Lol.
Pole sana Mtani kuwa mpole / fuata sheria za humu kama Mie Mtani wako hapa ili udumu na id moja banaa.
Asante mtani id ninayo hii moja tu
Nibembeleze au nitoe siri???Hahahaaa. [emoji85][emoji85]
Shikamoo babu!
Hahahaaa. Hakuna siri bana babu jf hii ujue au siri ipi hiyo? 😜😜Nibembeleze au nitoe siri???
Babu mimi naiga nyanyo za watangulizi wangu..maana mm niliwahi kuja hapa lakn ww na KakaKiiza ndo mnaongoza katika mikeka ya mashemeji..Miaka 10 si haba. Ngoja nami nipambane. Kwa namna navyokujua kila mwaka umekamata wachuchu 6. Hii ina maana nina mashemeji 60 hapa JF.
Shumalam waitu!
Masatu ww nilikupokea hapa kuwa na Adabu enzi zile unaomba kutumia desktop yangu ofsn.[emoji3] [emoji3] .. Watu mmetoka mbali sahv mna JF App..inbox yangu ilifungwa mwaka 2013 sababu nitazitoa hapa siku moja kwann niliomba ifungweBazazi naona linajipigia chapuo humu. Manina Mungu anakuona, sipati picha huko inbox kulivyo jaaa wadudu wa kupiga mikasi.
Kuwa na nidhamu we dogo. Hapa umenikuta...infact tangu enzi za Jambo Forums... lakini sithubutu kujilinganisha walau na 1 ya mia ya wanakondoo wako.Babu mimi naiga nyanyo za watangulizi wangu..maana mm niliwahi kuja hapa lakn ww na KakaKiiza ndo mnaongoza katika mikeka ya mashemeji..
Sasa mbona unanifuata inbox kuniomba nisitoe siri afu hapa unajibaraguza?Hahahaaa. Hakuna siri bana babu jf hii ujue au siri ipi hiyo? 😜😜
Hahahaaa. Babu hata na wewe unajua kusingizia kumbe. Haya bana.Sasa mbona unanifuata inbox kuniomba nisitoe siri afu hapa unajibaraguza?
Masatu ww nilikupokea hapa kuwa na Adabu enzi zile unaomba kutumia desktop yangu ofsn.[emoji3] [emoji3] .. Watu mmetoka mbali sahv mna JF App..inbox yangu ilifungwa mwaka 2013 sababu nitazitoa hapa siku moja kwann niliomba ifungwe
Makuda Sana hayo majamaaa, yamefanya wengine wakaleft JF jumlajumla. Leo falasi linaibuka na Anniversary hapa ndani. Manina zako BenHili jamaa na blaza ake KakaKiiza yamesababisha wachuchu wengi sana kubadili ID. Ila Mungu anawaona
Siko mzima kwa maana nimekumisi. Hakikisha Huyu Ben Mugashe asikutongoze... jamaa linatumia viagraHahahaaa. Babu hata na wewe unajua kusingizia kumbe. Haya bana.
Uko mzima lakini?
Ukiona hivyo ujue kuna mchuchu mpya linanyemelea. Jamaa lina macho kama ya mweweMakuda Sana hayo majamaaa, yamefanya wengine wakaleft JF jumlajumla. Leo falasi linaibuka na Anniversary hapa ndani. Manina zako Ben
Hahahaaa. Haya pona babu sababu ushaniona saa hii.Siko mzima kwa maana nimekumisi. Hakikisha Huyu Ben Mugashe asikutongoze... jamaa linatumia viagra
Ndo ujue sasa... siku zote ye yuko bize PM huko. Usijesema sijakuonya...Hahahaaa. Haya pona babu sababu ushaniona saa hii.
Hahahaaa. Babu huyu Babu mwenzio atakuwa hana hizo mambo bana ndio maana na vilikes na post za kuhesabu. 😂😂😂😂😂
😂😂😂😂 kuumbeeee.Ndo ujue sasa... siku zote ye yuko bize PM huko. Usijesema sijakuonya...
Vipi kwani, tayari?😂😂😂😂 kuumbeeee.
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️