Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Sijambo kaka..Wifi hajambooMarhaba binti hujambo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijambo kaka..Wifi hajambooMarhaba binti hujambo
Yaliyopita si ndwele babu...Weka ushahidi hapa... mi Tomaso.
Hivi unakumbuka nilishakuachia wangapi afu hukunirudishia??
Mzima kabisa ,anakusalimiaSijambo kaka..Wifi hajamboo
Nasubiri kauli ya babuYaliyopita si ndwele babu...
Nipe kibali cha huyu, nakuahidi sitokuangusha.
Tuelekeze mapema wapi tunakuja kugonga cheers na kula cake.
MsalimieMzima kabisa ,anakusalimia
This time ni Landmark hotel room 401Tuelekeze mapema wapi tunakuja kugonga cheers na kula cake.
HahahahaMsalimie
Wacheka nini!!!Hahahaha
Hahahahahaaa. Kupelekana room ndo mwanzo wa kukaguana Sasa..This time ni Landmark hotel room 401
Hahahahahaaa. Kupelekana room ndo mwanzo wa kukaguana Sasa..
Hahahaha, nafurahi tu bibieWacheka nini!!!
Haya furahi babuyee.Hahahaha, nafurahi tu bibie
Hahahaha, we hutaki kukaguliwa?Haya furahi babuyee.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji23]
Mashalaaah usingizi wangu ni wewe achana na babu Aspro anaweka tu mkono perfomance zeroNaanzaje kukufyeka??? Naomba usiku wa leo nikutunuku tufanye maadhimisho ya miaka 10 pamoja
Cc Asprin
Msigua ww mpwa wangu huyu waweza mtunuku kwa niabaHhahahaaaa.. Kwani anniversary yako au ya Ben? Mbona unataka kupokea zawadi kabla ya Siku yako Sasa?