Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huna ulijualo wewe. List of shame haihusiani na Kashfa ya Richmond hata chembe!List of shame ya Chagadema ilikuwa uzushi na upuuzi mtupu.
Angepewa fursa ya kujitetea hadithi ingekuwa tofauti kwa namna wapinzani walivyokuwa wamemkamia? Je, Kamati ile ilifanya kazi kwa muhemko, hila au ilikuwa na lengo la kuwaziba midomo wapinzani na kukijenga chama cha CCM?Siku tano zilizopita yaani tarehe 7/2/2018 ilitimia miaka kumi kamili tangu Edward Lowassa ajiuzulu uwaziri Mkuu tarehe 7/2/2008 kutokana na kuhusishwa na Kashfa ya utoaji Tenda kwa kampuni ya kufua umeme ya richmond.
Lakini mpaka leo mbali ya kutuhumiwa tu na mahasimu wake wa kisiasa Lowassa hakuwahi kufikishwa mahakamani iwe ya kawaida ama ile ya "mafisadi" iliyoanzishwa kwa minajili ya kazi hiyo. Ifutayo ni hotuba yake aliyoitoa siku ya kujiuzulu kwake:
Nakushukuru mheshimiwa Spika kwa kunifanya msemaji wa kwanza katika hoja hii. Lakini la pili nimpongeze Dr. Harrison Mwakyembe Mwenyekiti wa Kamati teule,kwa kuwasilisha kwa mbwembwe nyingi sana taarifa yake, mbwembwe zilikuwa nzuri sana.Kwa kazi nzuri kwa maoni yao na wameiwasilisha vizuri.Lakini Mheshimiwa Spika, nimesimama kuweka kwenye Kumbukumbu kutokuridhika kwangu na jinsi kazi hiyo ilivyofanywa.
Mhesimiwa Dr. Harrison Mwakyembe ni mwanasheria tena daktari alikuwa anafundisha wanafunzi Chuo Kikuu. Moja ya vitu alivyokuwa anafundisha ni Natural justice. Wewe pia Mheshimiwa Spika ni Mwanasheria, unafahamu suala la Natural Justice. Kwamba katika Kamati Teule, imesikiliza watu wengine wote, pamoja na waliowaita minong’ono ya mitaani. Wamesafiri mpaka Marekani kutafuta mashahidi, lakini mimi ambaye ni mmoja katika watuhumiwa mle hawakunihoji hata siku moja!
Mheshimiwa Spika. Nimesimama kueleza masikitiko yangu. Ofisi ya bunge mpaka ofisini kwangu hata wangeniita ningeenda kwa mguu kama hamna gari. Na nilikuwa tayari kufanya hivyo.Hawa ni watu makini sana, siwezi kuamini kwamba wanaweza kufanya Oversight kama hiyo. Kwa sababu katika kila hoja walizojenga, walisema Waziri Mkuu ilikuwa hivi, kulikuwa na shida gani kuja kuniuliza, Waziri Mkuu wanasema ulitoa dokezo hili ni sawa sawa ni kweli? Kulikuwa na shida gani kwa mfano Mheshimiwa Spika, kufuata utaratibu wa Westminster kuthibitisha hapo unaposema, wenye Richmond ni fulani uka- table Record na ushahidi kwamba ni fulani?
Mheshimiwa Spika Taifa letu ni taifa changa, lakini chombo hiki ndiyo mahali pa Demokrasia pa kubwa katika nchi yetu pote, hapa ndipo penyewe. Kama katika chombo hiki haki haitaonekana kutendendeka, Mheshimiwa Spika nchi haitakwenda vizuri.
Hapa ndipo tunategemewa kuonyesha umakini, umahiri wetu katika mambo ya Demokrasia. Kwa hiyo nilichofanyiwa Mheshimiwa Spika napenda kuweka kumbukumbu sahihi…sawa. Kwamba naona si sahihi, na nimefadhaika sana, nimedhalilishwa sana na nimeonewa sana katika hili. Maana zimechukuliwa tuhuma zikaja kuelezwa hapa kwamba hivi ndivyo ilivyo, mimi sijaulizwa. Kulikuwa na shida gani kuniuliza. Kwa nini muamini minong’ono ya mitaani kuliko maelezo yangu?
Sisi wote hapa ni wanasiasa, tukianza kuamini minong’ono ya mitaani, niambieni mwanasiasa atakayesimama. Hatuwezi… Tume wamepewa muda wa kutosha kabisa, lakini inashindwa kumuona mtu ambaye wanamtuhumu na wanamsema kwa kirefu sana.
Lakini mheshimiwa Spika, hata pale uliponinong’oneza ukaniambia “una ushahidi wowote”? Nilikupa ushahidi huo wa maandishi. Katika taarifa yao hakuna hata moja ya ushahidi ambao umetoka Ofisi ya Waziri Mkuu, hata mmoja! Lakini kitabu cha Majedwali kimejaa majedwali meengi pamoja na Magazeti mpaka ya Udaku, lakini maelezo ya Waziri Mkuu hakuna hata moja.
Mheshimiwa Spika. Mimi naamini ingekuwa ni heshima wangeliweka halafu wakasema tunakataa kitambulisho hiki kwa sababu hii na hii na hii na hii. Mimi nadhani ingejengwa hoja. Lakini kujenga hoja na kuja hapa bungeni, tunahutubia nchi nzima na kusema Waziri Mkuu amefanya hiki, amefanya hiki, amefanya hiki bila kumsikiliza, nachelea kuuliza, hivi watu wa chini itakuwaje?
Lakini Mheshimiwa Spika nimetafakari kwa makini sana jambo hili, nikajiuliza, hivi hasa kulikoni. Mpaka watu wazima wenye uwezo wao, watu maarufu, wenye heshima zao. Mpaka wafike mahali waache jambo la msingi kama hilo, kulikoni?
Mimi nadhani, they have a wish which I am going to grant, ni Uwaziri Mkuu. Nadhani tatizo ni Uwaziri Mkuu. Kwamba ionekane Waziri Mkuu ndiye amefanya haya, ionekane Waziri Mkuu amefanya haya, tumuondolee heshima au tumwajibishe. Mheshimiwa Spika. Nimetafakari sana, kwa niaba ya chama changu, kwa niaba ya serikali yangu, nimeamua kumwandikia Rais barua ya kumwomba niachie ngazi.
Nafanya hivyo kwa moyo mweupe kabisa, kwa moyo mweupe kabisa ili kuonyesha dhana ya uwajibikaji lakini na kutokukubaliana na utaratibu uliotumika kusema uongo ndani ya bunge wa kunisingizia.
Mheshimiwa Spika nitumie nafasi hii kumshukuru sana Rais kwa heshima aliyonipa ya kutumikia nchi hii kwa Uwaziri Mkuu kwa miaka miwili, namshukuru sana mheshimiwa Rais. Nakushukuru wewe, nawashukuru Mawaziri na Manaibu Mawaziri, nawashukuru waheshimiwa Wabunge, na wanachama wa CCM tuliosimamia Ilani ya Uchaguzi ya Chama chama Mapinduzi. Baada kusema hayo nakushukuru Mheshimwa.
Mkazo ni wa kwangu mimi.
Hakupewa sasa hiyo nafasi kwa ivo hakuna haja ya "kulabdisha".Angepewa fursa ya kujitetea hadithi ingekuwa tofauti kwa namna wapinzani walivyokuwa wamemkamia?
Yaliyopita si ndwele!Siku tano zilizopita yaani tarehe 7/2/2018 ilitimia miaka kumi kamili tangu Edward Lowassa ajiuzulu uwaziri Mkuu tarehe 7/2/2008 kutokana na kuhusishwa na Kashfa ya utoaji Tenda kwa kampuni ya kufua umeme ya richmond.

Ukweli gani?upuuzi huu
EL ni mwizi, ccm nao wengi ni wezi!..hawawezi kupelekana mahakamani
kutopelekwa mahakamani, hakuondoi huo ukweli
Alitengenezwa na nani na jee wakati huo "anatengenezwa" upinzani ulikuwa ni tishio kuliko ulivyo sasa?Hapo ndipo mzee alianza kutengenezwa kwenda kuivunja upinzani
Fimbo ya mbaliAlitengenezwa na nani na jee wakati huo upinzani ulikuwa ni tishio kuliko sasa ulivyo?
Msemo huu hausadifu tunachojadiliana!!Fimbo ya mbali
Sasa hapo anasafishwa kwa uchafu upi alio nao? Wengine mwaka wa tatu sasa tunauliza jinsi Lowassa alivyohusishwa na suala la Richmond hatujibiwi.Slaa aliwahi kusema huyu jamaa hasafishiki mkadharau, leo mwaka wa tatu mnaendelea kusafisha tu.
Uliona jinsi "fisadi" Lowassa alivyosindikizwa hadi kwenye gari alipokwenda kwa mkamataji?Hivi ile mahakama ys mafisadi inamaana inatumika kufugia panya au?? Mbona haitumiki??
Ukweli gani?
Umesoma hotuba yake aliyoitoa wakati anajiuzulu? Wewe huo wizi wake unaupima kwa kutumia kigezo gani?