Miaka 10 ya Kashfa ya Richmond bila ya Lowassa kufikishwa mahakamani!

Alitengenezwa na nani na jee wakati huo "anatengenezwa" upinzani ulikuwa ni tishio kuliko ulivyo sasa?

definitely ulikuwa na nguvu,nguvu inaanza kwenye hoja wanayoisimamia

hoja ya chadema ni nini?

thread zako hizi...ambazo hauwezi kuzitetea..zinawaumiza chadema


nilijua una evidence na attachments kibao kuonyesha EL hausiki na richmond, unaleta story
 
definitely ulikuwa na nguvu,nguvu inaanza kwenye hoja wanayoisimamia

hoja ya chadema ni nini?

thread zako hizi...ambazo hauwezi kuzitetea..zinawaumiza chadema
Kwanza kuuliza swali kwamba CHADEMA inasimamia nini ndiyo ule ule ukasuku ninaousema. Kwani CCM inasimamia nini?

Kwani nini unashindwa kuiona hoja rahisi sana kwenye bandiko hili. Kwanza Lowassa alisemea Bungeni kwamba yeye alituhumiwa bila ya kupewa nafasi ya kujitetea. Na akasema kwamba alimpa spika utetezi wake wa kimaandishi kwamba yeye hahusiki. Kina Mwakyembe hawakuutumia huo utetezi wala kuupinga.

Hoja ya pili ya bandiko hili ni kwamba inakuwaje mtu anayetuhumiwa na watu wanaoongoza serikali inashindikana kufikishwa mahakamani kwa zaidi ya miaka kumi?
 

we mpuuzi CCM inaingiaje hapa? nani yuko ccm, mimi sio ccm katu

jibu hoja, sasa kama ujinga wako wewe unaiga wa ccm haina maana ya upinzani
 
Nani anabembelezwa arudi Ccm? Fankurooo. House full. Zigo la mavi limeshushwa nani atalibeba? Zungukeni nalo tu. Tupeni tu na ushahidi wake muone tutafanyaje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…