Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

Miaka 10 ya kifo cha Albert Mangwair, unamkumbuka kwa ngoma gani mkali huyu?

Nakumbuka Kwa Kila kitu.

BINGWA wa free style.

Nyimbo zote alizoimba zilikuwa Kali.

Zote alizoshirikishwa aliwafunika wote......
 
Masupa staa tunang'aa kwa pamba tunazovaa, zinaficha njaa ila tunapokaa nyumba udongo nyasi mlango wa gunia ndani hakuna kijiko, mwiko wala sufuria.
 
My favorite Artist of All Time
Continue to rest in peace Cowboy wa East zoo (Mwanachemba)
 
Discography ya Ngwair; Kwa kuanzia:
1. Mikasi
2. She gotta gwan
3. CNN
4. Nipeni deal
5. 120 speed
6. Ghetto langu
7. She performs
8. BbM
9. Weekend
10. Mademu zangu
11. Singida Dodoma
12. Napokea simu
13. Aka mimi

Zingine + Guest verses
  • Msela ft KR (Moja ya verse zake Kali sana)
  • Watoto wa Jahkaya ft Nature
  • Wife featured by Daz Mwalimu
  • Bila wewe featured by Jordan
  • Kiuno featured by TiD
  • Karibu Kiumeni ftd by Chegge Chigunda.

Wadau mtaongezea zingine ili wanao-doubt uwezo wa Ngwear wapate playlist ya kuskiliza.
 
Sasa We Una Bati
Sasa Hivi Unaenda Wapi?
Wakatili ilo Bati Hata Soda Tu hupatii
Asiye na Hela Me Naona Bora Tu Abaki
Tusije Mbele Tukashikana Mashati

Ngwair Mikasi RIP Mwamba
 
Ebana kwenyee kona shaaaaaa ........ funga mkanda babakee......
 
Samahani we Anti uliyevaa shati,
Hivi unaitwa nani,
Naitwa Bahati,
Hivi nilishawahi kukuona wapi?
Acha longolongo we sema una shingapi.
 
Ila usimpe tungi, sana mpaka akazima
Ukiona anaanza kurembua, Oil unapima,
Ili uweze tambua,Ni bwawa au kisima,




Ngwair alikuwa hatari..
 
Back
Top Bottom