Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
1. Watu tulikuwa tunapata pesa. Kwa kila namna rais alikuwa hana muda mufuatilia mambo ya mtu. Kila mtu ajiservie hakuna kusumbuana. Kwenye viroba haya, kwenye sandarusi haya... Ushindwe wewe tu kwa aibu, woga au ushamba wako.
2. Aliwahi kuongea jambo la maana moja tu kwenye speech zake. Ndo neno pekee ambalo mpaka leo naona lina maana au fundisho kwenye hotuba zake zoooote.
"akili za kuambiwa changanya na za kwako"
Mbali na hapo kwa kweli ilitaka moyo sana kumsikiliza kikwete. Mara nyingi nlikuwa nalazimika kwa sababu ya kazi zangu nami nakuwa hapo alipo. Hakuwa smart.