Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Haijawahi tokea na haitaokea๐Ÿ˜…. Huwa najiuliza inakuaje wanaume wanahonga? Huwa sielewi ni mechanism gani wanayo. Salute kwenu
๐Ÿค”๐Ÿ˜ณ Nikichukua siti kwako, na kazi ikawa kazi kwelikweli siwezi kuhongwa?๐Ÿคธ๐Ÿ˜„๐Ÿƒ
 
Bila shaka mwalimu degree holder.
 
Iseee basii walimu was Tanzania tuna shida
 
Watu wanachelewa sana shule. Mimi nimemaliza degree tena ya miaka 4 na miaka 23, 24 kazini.
Yes siku hizi watu wanaanza shule mapema, mi nakumbuka nilianza darasa la kwanza baada ya kuweza kushika sikio la upande wa pili...we nae ulipitia hiyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila shaka mwalimu degree holder.
Hujakosea kaka. Tukiambiwa jinsi scale za mishahara watumishi wa mashirika ya umma ss waalimu roho hua zinatuuma sana. Imagine mtu ana certificate ya fm 4 anakuwa na mshahara ambao mm degree holder nautafuta miezi mitatu yy anaupata mwezi mmoja aiseeeee afu mtu unafanya mistake kama hizooo yaaaan
 
Boss, yote maisha tu pambania kile mungu alichokujalia
 
Sawa Chief
 
Kijana akiweza kuepuka huu ujinga kwenye miaka yake ya mwanzo wa ajira atafanikiwa sana lakini ukweli huwa ni ngumu sana. Mimi nakumbuka nilishauriwa sana lakini bado nilifanya upuuzi mwingi tu mpaka mkopo wangu wa kwanza nikaishia kununua gari ili nioshee kwa wasichana, akili imekuja kunikaa sawa baadae sana jua lishakucha na utawala ni wa magufuli hapo ni mwendo wa kukimbizana sasa.
 
Kweli Boss yaani unakuwa na behavior ambazo zinakuwa motivated by some external goals na ile nguvu ya kuzishinda unakuwa huna
Hebu fikiria kipindi hicho kwangu nilikuwa sijifikirii mara mbili kumkatia demu tiketi ya ndege ili anifuate nilipo tubanjuane, Yaani nilianza kumpandisha demu ndege kabla ya wazazi wangu waliohangaika na mimi kwenye mapito ya dhiki... Ujana kweli maji ya moto
 
Hongera kama umetambua ilo mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ