Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Ila wewe jamaa eti buno la maanaπŸ˜„πŸ˜„πŸ€”
 
Mzee Wa Republican huu uchaguzi mtapita kweli?
 
Jamaa kanikumbusha, " nilichukua akiba yangu Fulani nikaanzisja biashara Fulani. Halafu ile biashara haikuwa upande wangu. Roho ilikuwa inaniuma sana. KILA JAMBO NA WAKATI WAKE TUSILAZIMISHE STRESS
 
Jamaa kanikumbusha, " nilichukua akiba yangu Fulani nikaanzisja biashara Fulani. Halafu ile biashara haikuwa upande wangu. Roho ilikuwa inaniuma sana. KILA JAMBO NA WAKATI WAKE TUSILAZIMISHE STRESS
Pole mkuu
 
Yupo humu JF anakuona tu unavyotoa ushuhuda wa kuchepuka.

Ngoja niitafute comment yake naye.
 
Aiseeee
 
Mshukuru Mungu akili ilikukaa sawa mapema,kuna watu wanashtuka uzeeni,anasa ni mbaya sana
 
Mimi nlivokuja kugutuka hadi nkaja kusemaa ivi. Nlikua nmerogwa..au maofisini kuna time mtu anaeza kukupumbaza usikue kimaendeleo..au umri ndo tatizo...nna miaka 6 kazini ndo nmeshtuka sahv..najutia zile pesa za mkop nlizipoteza kwa kufata manz songea.iringa daah..starehe kidogo unachoma elaa ndeef. Wakat madem wapo tu..nna 32 now nachoshkuru nmefunguka mapema nna 3 business zinazonilatia income tofaut na mshahara..nlichogundua sumu kwa watumishi ni
1.starehee.na kutokua na chanzo kingine2cha mapato
2.malezi mabov ya jamii zetu na elim kuhusu pesa..wengi hatujui kanuni za pes
3..sometime mwajiri anaeza kuwa chanzo.mf unanza kazi tu..unapanga mipango ako..unahamishwaa..ni sio

Menginee2 wataongezea wadau..all in all uzi huu uwe sticky ni bonge moja la uzi toka nmeijua JF
 
Mkuu πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ, kwamba umelogwaπŸ˜„πŸ˜„
Daaah ukikumbuka unaweza kupoteza network kabisa
 

Aise hongera kwa ajira na make bora ,but ulikuw unatakiwa use funzi kwa wengine
..hujapitia huko kwa makosa.....ni njia.


Kuna jamaa hapa tabora ,aliuza kiwanja cha mikocheni barabarani kabisa mil 400 ,wakagawana mil 70 kila mmoja ........jamaaa alikuwa mwanafunzi Chuo
X mkoa X .........alizutumia semester mbili za diploma na chuka akaacakaacha ,kwa sasa ni customer care kwenye mtandao wa simu X

Ushauri : NILIKWISHA wahi chezea mil 8 sikujua iliishaje enzi hizo....

..nimegundua ,AKILI IWE KUBWA ZAIDI YA PESA UNAYOPATA ,UKIPATA PESA ILIYOKUZIDI AKILI ITAPOTEA HADI KWENYE LEVEL ZAKO ZA AKILI ITASIMAMA HAPO........


use mfano bora na mwalimu bora kwa sisi vijana wenzako, hata wazeee,tusipitie huko
 
Kwamba jamaa alitumia 70m kwa kutanua tu?
 
Kwamba jamaa alitumia 70m kwa kutanua tu?
Yes mkuu ,aliweka ndani na mtoto wa kiepemba kwa mda ,michepuko bongo movie huko ,akanunua na gari LA kuuzia sura ....no income generating asset ya aina yoyote ........

Kwanza alikuwa anatembea na kundi LA vijana kama 5 hivi mda wote .......akimpenda mrembo anaenda posa na kuacha ,kanunua sana pikipiki kwa mashemeji kuwapa ajira...

Bado aririthi daladala ndogo.....


Kweli maisha ni akili sio pesa pekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…