Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Shukuru umejitambua ukiwa na ajira, mke na afya. Chupi za kike za kwa Mworomboo - Arusha zilimzika jamaa yangu Jose
 
inauma sana akili huja baada ya msoto
 
Duuh[emoji848], hapa naona bora mimi katika umri ule.
Huyu kachezea pesa wakati hana chanzo Cha kumuingizia hizo pesa aisee


Ujana ni shida sana
Alafu we dogo ntakuwa nakujua dit uliondoka mwaka gani? ulikuwa unachaza sana mpira....!
 
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa umenichekesha eti Mungu sio Pascal Mayalla!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa kutuandika haya humu JF nadhani ni ujasiri na ushindi kwako binafsi, kwa dhamira yako na kwa huyo anayeitwa "INNERMAN" aliyeko ndani yako. Nakushauri ujitahidi "kuyasahau" ya nyuma na usonge mbele kwani kuzidi kuyafikiria hayo yatakuwa kama "matuta ya barabarani" na kukupunguzia spidi ya kulifikia lengo lako. Halafu usidhani ni wewe tu ULIYEKOSEA katika Maisha kwa sababu ya ujana na starehe za kitoto; ni wengi, wengi sana kiasi ambacho ukiwajua na ukijua makossa waliyofanya, UTAON YAKO NI CHA MTOTO. Keep going bwana mdogo (infact hujaanza maisha kwani at 32 wewe bado ni kijana sana na as they SAY LIFE BEGINS AT 40! Kaza buti na utashinda na mimi naamini itafika wakati hayo unayoita "makossa in life" utayasahau yote na kusonga mbele kwa ushindi wa ajabu. Asante kwa bandiko lenye kuelimisha vijana wa JF.
 
Huwa nashangaa sana mtu kujivunia kuwa "mtumishi wa umma" inanifikirisha sana
 
Huwa nashangaa sana mtu kujivunia kuwa "mtumishi wa umma" inanifikirisha sana
Wapi nimejifunia mkuu? Unaweza kunionesha hiyo sentence?

Then, kwani Kuna ubaya kuwa mtumishi wa umma? Au nini mbaya kwako mkuu kilichokuchukiza?
 
Life starts at 40..hujachelewa.
 
Atakua anamaanisha kitimoto[emoji38][emoji23]
 
Miaka 32 bado mdogo sana mkuu, mshukuru MUNGU maisha yako ni mazuri mno. Kuna watu wako above 40 hawana chochote na madegree yao .
Binafsi nina umri wako na miaka 5 kwenye utumishi ila naona chenga tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tuko wengi! Sio chenga ni changarawe kabisa! Mungu atusaidie....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…