Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Huwa nashangaa sana mtu kujivunia kuwa "mtumishi wa umma" inanifikirisha sana
we jamaa wewe wengine wamemaliza degree tangu2015 huo utumishi wa umma hawajawahi usikia baba zao wameuza mifugo na mashamba ili wawasomeshe sasa hiv wapo wanasaga meno,hawakopesheki,hawana dhamana wakilima mbolea na madawa bei ghali soko la mazao hakunaπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ˜΄πŸ˜΄ni shida zaidi ya shida viongozi wamebaki kusema wajiajiri angalia kama mbunge na miposho ile analilia ufagizi wa ofisi za ccm je? hawa graduets watajiajiri vipi
 
Huwa nashangaa sana mtu kujivunia kuwa "mtumishi wa umma" inanifikirisha sana
Acha uchoko. Hakuna kazi yenye maana Kama kuwa mtumishi wa umma. JPM mtumishi namba moja wa umma unamzidi nini wewe na ukoo wako mzima?
 
Acha uchoko. Hakuna kazi yenye maana Kama kuwa mtumishi wa umma. JPM mtumishi namba moja wa umma unamzidi nini wewe na ukoo wako mzima?

Mbona kama umepaniki sana. unashindwa hata kujua real game ya "utumishi na siasa" ilivyo.
JPM aliacha ualimu sengerema akaenda kugombea ubunge. Siasa imekufumba sana na unafikiri wewe na magufuli (political figure) wote ni watumishi wa kariba moja na mnatumia sheria moja.

Endelea kuniita choko then "live your paycheck"
 

Kwa iyo mzee ukimaliza tuu "degree" basi lazima uajiriwe? Mjini hakuna "kazi" ila "shughuli" zipo. Tafuta "shughuli" usitafute "kazi". Hakuna selikali inagawa mitaji haipo,hakuna selikali inaweza waajiri watu laki nne kwa mwaka.
Ukiendelea kutafuta kazi tafuta ila shughuli zipo.
 
Mwaka jana nilikopa Tsh.18.7M ila hata sijui ilifanya kazi gani.?
Usikate tamaa. Kuna jamaa humu jf alinitia moyo kinoma akasema kuwa, yeye anaumiza kichwa afanyaje ili aweze kurudisha deni la 473 million, na biashara zimebuma,
Yani deni analodaiwa yeye ni mara 20 ya deni lako.
Hivyo basi waza kupambana ufanyaje ili urudishe deni....

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
Mshkuru mwenyeezi mungu kwa hali ulizopitia na mwombe msamaha pale ulipojikwaa kwani kwetu bin adam kukosea ni sehemu ya maumbile yetu, lakini kubwa mshukuru saaana mwenyeeezi mungu kwa kukulengesha kwa mke mwema, kwani waswahili tunasema bora ukosee kujenga kuliko kukosea kumpata mke mwema.
 
Mwaka jana nilipata mkopo toka benki flan kiasi cha sh. Mil 13 nakumbuka nilikua nina madeni kama ya mil 8 ya watu tofauti. Sikumbuki hizo hela nilizifanyia nini maana mi sio mtu wa starehe kihvyo na madeni mengne yalikua ni malimbikizo ya mda mrefu.Nikajitahd nikalipa kama mil 7 mengne nikasema ntalipa badae. Mil 6 iliyobaki nikafanya mambo kidgo ya maendeleo pale home ukizingatia nina familia. Chenji iliyobaki sijui ilikata vp. Sasa kinachotokea sahv yale madeni yaliyobaki wanaonidai wamenikalia kooni,hela ya kuwalipa siioni,najaribu kukopa kule nilipe huku lakin bdo mambo ni yaleyale. Hapa nahangaika nipate kama mil 1.5 nimalize vimeo vyote nibaki na deni la benk.
Nina stress sio za kitoto.
 
Bro usije huku chaputa kila siku nasema kesho na acha kesho naacha?
 
Pole sana..
 
Pole sana
 
mwanagu wa kwanza nimempata nikiwa na miaka 23 tu kwa sasa ana 8yrs
Kwa kuwa hii ulipost mwaka 2020 ina maana sasa hivi una miaka 33.

Mbona bado ni mdogo kabisa (yaani kijana) kuanza kuwa na majuto? Majuto ni mjukuu. Wewe bado hujawa na wajukuu kwa hiyo hebu acha kutupotezea muda na stori za majuto. Maisha yako bado sana. Una miaka takribani 30 ya kuendelea kutafuna warembo.

Hayo uliyopitia sio ya kujutia bali ni umeutumia ujana wako vizuri. Usibabaishwe na vitu kama nyumba kuona wenzako wamejenga. Nyumba unajenga wakati wowote. Lakini nguvu za kuwatafuna warembo kisawasawa kwa namna ambayo unaweka heshima zina mwisho. Ukishafikisha miaka 50 utakuwa huwezi kuwatafuna kisawasawa kwa kuwa maisha yako ni ya ofisini (yaani unakaa tu kwenye kiti siku nzima).

Kwa hiyo jipongeze kwa kutumia ujana vizuri, sio kuja hapa na huu upuuzi eti unajuta kisa tu wenzako wamejenga wewe umepanga. Kujenga utajenga tu wala usikonde. Na usiishi kwa kushindana na mtu.
 
Mkuu kula bata, hapa duniani tunapita kwani unataka kuacha nini?

Hujakosea, kula bata kula bara, kula mpaka kuku waone wivu!!!
Mkuu nilisoma hiki kisa naona jamaa amepita mulemule, Sasa wewe unakuja kunichekesha, acha bana.

Nina 39 Nina watoto nimekaa kwenye utumishi 15yrs na sikuwahi kushereheka.

Nilikula Bata Sana. Chuoni Kwa sie tuliotafuta ajira kwanza kusoma kukawa baadae..nilikuwa na nakula kuku mpaka manyoya. Nikiwa Chuo kikuu ni mwendo wa pombe, Malaya, natomber Malaya wa udsm (nane) wa CBE (saa kumi) wa ifm( saa 12 jioni) ma bar maid usiku) nakumbuka nilishakula air hostess mmoja simjui tumekutana kwenye ndege yaani nilikuwa mlevi nawafunua hukohuki hewani. Nilikuwa nalewa nasahau naishi block lipi hostel. Nakaa Kwa mbali kucheki block la male wanavaa suluari nilitambua block letu Kwa kuangalia jinsia ya mavazi.

Nilikuwa niklipita kwenye kamba zilizoanikwa nguo sipishi Mimi navyoosha tu. Kazi kubwa ilikuwa kujua chumba changu.

Nilikuja kustuka Nina 30++ Sina nyumba, Nina mikopo salary slip Ina page Mbili.

Mikopo ilikwisha nikakopa nikajenga. Naishi kwangu na ninahasira na maisha ya kutegemea mshahara. Nimeanza biashara zinasimama. Tushukuru wanawake wkt mwingine wanaokoa.

Ndgu yetu yeye kula mil 48 ni parefu Sana Mzee. Yaani hapo ulikuwa unanyonywa mb.oo unakula mikundiu. Starehe aliyokula si ya kitoto.
 
Huu ujumbe utasaidia wengi sana mkuu,hii situation ndo nayoface sasa maana niliendekeza ndugu vizinga vingi now sina kazi nakula msoto kitaa.Wazungu wanamsemo wao mmoja "Your best teacher is your last mistake ".

NB:MOJA YA THREAD BORA SANA KUTOKEA HAPA JF.
 
Angalau ulifaidi papuchi.. Mie niliingiza 22M kununua gari ikala mzinga ndani ya mwezi mmoja, nikaishia kuuza screppa Kariakoo.... Huna haja ya kujilaumu.. Mambo yote ni ubatili.
U made my day mkuuu hahahaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…