Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Aise wewe sio mshauri mzuri ,why asifanye maendeleo na hizo warembo akaachana nao? hao ndio wanamaliza kabisa.

Ameongea ushauri mzuri kabisa ,ukisubiri miaka 50 ndio ufanye maendeleo mzee huwezi jua ya mbele
 
hakuna kitu kinaniuma hadi leo kama kutafuna 4m niliyo idunduliza kwa ajili ya kumalizia nyumba kwa maana ya kuweka tiles
 
ulikuja kupata kazi?
 
Pole ulikua ujana tu
 
Hi taasis nishaijua Hi taasis nishaijua
 
Huu uzi una miaka 11 duuuh

Yani ni ngono baada ngono

Ndio maana mnarudisha watoto kayumba[emoji24][emoji24][emoji23][emoji23]
Uzi una miaka 11? Pitia hesabu zako vizuri mkuu.
 
Me ni kijana, hakuna kitu sipendi kama kujilahumu, sio kwamba nina akili amna ila nasemaga wacha nijitume sasa kwa kadri ya uwezo wangu, walau ikifika kesho hata nikishindwa najua nilipambana.
Ndiyo naamini kuna muda mambo yanafichwa machoni pa mtu, wenda ikawa kwa sababu mbalimbali. Mengine sifahamu zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…