Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

kisa na mkasa huu inapendeza uwape watumishi wa ummawanaojiunga QNET, AIM GLOBAL, mr. Kuku, weku, na kampuni hizo za Ponzi SCHEME. Wanawaza waje waache kazi eti wao ni mabilionea tayari. Chemsha bongo kabla ujavaagaa ujaduwaaaa
mkuu sijakuelewa, hebu fafanua zaidi
 
Wewe umeongea nnachowaza mm akilini mwangu, ela ya mshahara + bonas haisimamii shoo za pombe + mademu + starehe nyingine.

Vijana wengi tunapotea tunavotaka kutumia pesa izo za ngama kwenye starehe badala tuwekeze kiasi kidogo cha faida unakula bata, who said matajiri hawali bata?? Mm nachukua lets say 200k naenda nayo bar na mtoto mkali nakula maisha wakati huo huo tajiri kama watoto wa barkhresa, Ahmed huwel wanatumia mamilioni ya pesa kuweka mafuta kwenye sportscars zao wanafanya rally nayo ni starehe inayotumia pesa mingi na vile kibongo bongo wanafanya kwa passion zaidi na sio kutengeneza pesa nyingi.

All in all, hongera umeshtuka mapema, kuacha mechi za nje ni ngumu na pombe ndo balaa especially ukiwa early 30's ndo upo kwenye prime. Wekeza in business utapata faida utafanya maendeleo na utashangaa unafanya starehe bila kuumia moyo.
 
mkuu umesema vema hata mimi sijasema nimeacha mechi za nje yawezekana hujanielewa vizuri, mawazo yangu yanafanana na yako kwa asilimia kubwa
 
mkuu umesema vema hata mimi sijasema nimeacha mechi za nje yawezekana hujanielewa vizuri, mawazo yangu yanafanana na yako kwa asilimia kubwa
Hahaha nimekuelewa fika mkuu sema nn kiuhalisia mechi za nje zinachukua not less than 65% ya pesa za anasa. Ukiwa na 200k toa 30k logde, yy mpe 30k the least ili akupe buno la maana usawa huu wa jiwe enzi za jk tulikuwa tunawapa 50k hapo umejivunga misosi 30k pombe duuuuh.

Mm ni age mate ila nishamalizana na maswala ya usafiri both kwa mama na mm maswala ya housing kwisha napambana na mradi unaonipa faida kubwa kwaiyo starehe kama kawa, hawa wanahitaji sana support yetu hawawezi olewa wote.
 
hongera mkuu
 
mkuu haya mambo ni mambo tu ipo siku yako ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…