- Thread starter
- #41
kabisa mkuuBado hujachelewa mkuu endelea kupambana...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kabisa mkuuBado hujachelewa mkuu endelea kupambana...
Mkuu mbona unajiita big mind?Mkuu mke wako anaitwa EMMY si eti..??? My ex aisei.. [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
nilishaanza ndugu hizo ni kumbukizi tuHujachelewa!!!
Kuanza Upya Siyo Ujinga.
ni mungu tu ndugu, hata mimi kama angeamua nisingekuwa na chochoteMiaka 32 bado mdogo sana mkuu, mshukuru MUNGU maisha yako ni mazuri mno. Kuna watu wako above 40 hawana chochote na madegree yao .
Sent using Jamii Forums mobile app
watu huwa hawachezei kazi mkuu, wanachezea mshahara 😀 😀 😀Afadhali umejitambua, na ajira hujaipoteza
mkuu sijakuelewa, hebu fafanua zaidikisa na mkasa huu inapendeza uwape watumishi wa ummawanaojiunga QNET, AIM GLOBAL, mr. Kuku, weku, na kampuni hizo za Ponzi SCHEME. Wanawaza waje waache kazi eti wao ni mabilionea tayari. Chemsha bongo kabla ujavaagaa ujaduwaaaa
Wewe umeongea nnachowaza mm akilini mwangu, ela ya mshahara + bonas haisimamii shoo za pombe + mademu + starehe nyingine.Daaah mkuu mimi sina kazi ya maana lakini walau napata kidogo changu, nna maisha kama yako ya zamani Pombe+Nyama+Mademu
Nmekuwa limbukeni sana wa papuchi yani huniambi kitu.
Nafikiri ni stage tuu ambayo wengi tunapitia ila kusanuka ndo inakuwa mtihani mzito yani usanuke uachane na hivi vitu inakuwa too late, kwahiyo nlichojifunza kuweza kuji control uache hizi mambo au mbadala uwe smart sana kuwa na baishara zinazokupa hela ya kufanya starehe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Angeweza fanya vitu ambavyo mahudhurio ya kazini yangekua hafifuwatu huwa hawachezei kazi mkuu, wanachezea mshahara 😀 😀 😀
mkuu umesema vema hata mimi sijasema nimeacha mechi za nje yawezekana hujanielewa vizuri, mawazo yangu yanafanana na yako kwa asilimia kubwaWewe umeongea nnachowaza mm akilini mwangu, ela ya mshahara + bonas haisimamii shoo za pombe + mademu + starehe nyingine.
Vijana wengi tunapotea tunavotaka kutumia pesa izo za ngama kwenye starehe badala tuwekeze kiasi kidogo cha faida unakula bata, who said matajiri hawali bata?? Mm nachukua lets say 200k naenda nayo bar na mtoto mkali nakula maisha wakati huo huo tajiri kama watoto wa barkhresa, Ahmed huwel wanatumia mamilioni ya pesa kuweka mafuta kwenye sportscars zao wanafanya rally nayo ni starehe inayotumia pesa mingi na vile kibongo bongo wanafanya kwa passion zaidi na sio kutengeneza pesa nyingi.
All in all, hongera umeshtuka mapema, kuacha mechi za nje ni ngumu na pombe ndo balaa especially ukiwa early 30's ndo upo kwenye prime. Wekeza in business utapata faida utafanya maendeleo na utashangaa unafanya starehe bila kuumia moyo.
Hahaha nimekuelewa fika mkuu sema nn kiuhalisia mechi za nje zinachukua not less than 65% ya pesa za anasa. Ukiwa na 200k toa 30k logde, yy mpe 30k the least ili akupe buno la maana usawa huu wa jiwe enzi za jk tulikuwa tunawapa 50k hapo umejivunga misosi 30k pombe duuuuh.mkuu umesema vema hata mimi sijasema nimeacha mechi za nje yawezekana hujanielewa vizuri, mawazo yangu yanafanana na yako kwa asilimia kubwa
hongera mkuuHahaha nimekuelewa fika mkuu sema nn kiuhalisia mechi za nje zinachukua not less than 65% ya pesa za anasa. Ukiwa na 200k toa 30k logde, yy mpe 30k the least ili akupe buno la maana usawa huu wa jiwe enzi za jk tulikuwa tunawapa 50k hapo umejivunga misosi 30k pombe duuuuh.
Mm ni age mate ila nishamalizana na maswala ya usafiri both kwa mama na mm maswala ya housing kwisha napambana na mradi unaonipa faida kubwa kwaiyo starehe kama kawa, hawa wanahitaji sana support yetu hawawezi olewa wote.
mkuu haya mambo ni mambo tu ipo siku yako nduguAll in all mkuu una bahati sana you get a job with 21 yrs and u paid over 850k,wengine we are approaching 32yrs with no reliable job hata laki 5 it's big deal then unakopeshwa over 45m kwa ajili tu ya ujenz na bado unafanya uhuni, some people are really blessed!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupambane, it' s not over as long as tunapumua, ukifanikiwa turudi barhongera mkuu