Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Miaka 10 ya Utumishi: Kumbukizi mbaya ya matumizi ya pesa isiyofutika katika historia ya maisha yangu

Kwa umri wako siyo jambo la kushangaza kukukuta hayo ila shukuru umelitambua hilo mapema na umerekebisha mapema.nimepata ajira nikiwa na miaka 32 baada ya msto mkali sanaa nikaapa sifanyi upuuzi hata kidogo na ntakopa kwa malengo mwaka wa tano sasa na miradi yangu na nyumba mbili safi za kupanga sasa nawachoma warembo bila stress na maisha yanaenda muruaa .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all mkuu una bahati sana you get a job with 21 yrs and u paid over 850k,wengine we are approaching 32yrs with no reliable job hata laki 5 it's big deal then unakopeshwa over 45m kwa ajili tu ya ujenz na bado unafanya uhuni, some people are really blessed!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa asee huyu jamaa pesa aloshika inawezekana wengne tukastaafu hatujashika. A lot of money within very small age. Hana cha kujutia kabisa, umri wake wa sasa ndo wengne wanaanzia kazi. Kuna watu wana bahati asee humu duniani... km Makonda tu[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa umri wako siyo jambo la kushangaza kukukuta hayo ila shukuru umelitambua hilo mapema na umerekebisha mapema.nimepata ajira nikiwa na miaka 32 baada ya msto mkali sanaa nikaapa sifanyi upuuzi hata kidogo na ntakopa kwa malengo mwaka wa tano sasa na miradi yangu na nyumba mbili safi za kupanga sasa nawachoma warembo bila stress na maisha yanaenda muruaa .

Sent using Jamii Forums mobile app
😀 😀 😀 mkuu mimi nilishtuka 2015 kama ningeshtuka mapema ningekuwa mbali sana

Ile miaka 4 (2009 - 2012) Roughly nilitumia zaidi ya 100+m kwa upuuzi tu ambazo ningewekeza leo ningekuwa mbali
 
Umefanya vizuri kugundua hilo, hongera sana! Socrates aliwahi kusema: "The unexamined life is not worth living". Kuna mtu alishanishauri 'kutojihukumu kwa kupitiliza'. Tunafanya makosa mengi na inapotokea tukagundua, tunapaswa kusahihisha hayo makosa na kusonga mbele.

Kufanya 'rehearsal' ya makosa ni kupoteza muda na fursa ya kufikiria mambo ya maana zaidi. Heri wewe umegundua kuwa miaka 10 imepita bure, mimi ni miaka 17 na ya kwangu inasikitisha zaidi. Ila matumaini yangu yako kwa Mwenyezi Mungu maana siwezi kufanya vizuri zaidi ku'rectify' makosa yangu bila msaada wake.

Piga moyo konde Mwenyezi Mungu atakusaidia na huenda unaweza kufanikiwa zaidi na kuona pengine ndio ulikuwa mpango wa Mwenyezi Mungu.
 
Hongera Mkuu,

Unapokosea kuandika kwa kalam ya wino, bado umepewa nafasi ya kufuta ili uandike upya.

Unapokosea kuchora kwa pensel basi ufuto wa penseli upo ili urekebishe mchoro wako.

Kinapoharibika kitu bado iko nafasi ya kutengeneza.

Hivyo kwenye maisha kila mmoja amepewa 'second chance' yani nafasi ya pili ili kurekebisha pale alipokosea.
Hongera kwa kutambua hilo na nakutakia mafanikio na sasa utakua makini zaidi.
Ahsante boss
 
Hongera mkuu kwa kjitambua miaka 10 baada ya kuajiriwa.
Shukuru Mungu ulizinduka na kuona mapana ya maisha.

Sisi wengine yaliyotupata ni noma kabisa.
Baada ya kufanya kazi miaka 12 mimi nikafukuzwa kazi kama kibarua.
Kosa?
Nilikuwa napiga mzigo na kupata umaarufu kuliko bosi wangu.
Ulaji wa kijinga kijinga nilukataa katakata na kazi ilikuwa mbele ili kutimiza malengo!

Wazee wa mitoso wakakaa chini na kusema huyu kijana anaingia mjini kwa pupa, atatuulia wanetu kwa njaa.

Mipango ikasukwa na kukamilika ,shutuma zikatolewa na kuhakikiwa na wapambe. Mwisho wa siku nikatakiwa kujieleza ndani ya wiki kwa nini nisione mlango wa kutokea nje.

Nikajitetea weee lakini wapi.
Mwisho nikapewa barua ya TOKA!

Hapo ndo maisha yakaanza .
Sina nyumba nina pagala, nikahamia humo humo, nfanyeje sasa!
Lakini Mungu hamtupi mja wake.

Nilipiga mzigo wa kazi binafsi za kujiajiri kiwenda wazimu, tena lile kiwenda wazimu haswa.
Hela ikaingia tena kuliko ile hela ya ajira.

Kufumba na kufumbua miaka mitano imepita na mi naendelea na mzigo spidi ile ile.
Sasa na pochi ikakubali, tena pochi si ya kitoto.

Nikanunua gari toka Japani, ya kwanza, mwaka mwingine uliofuata ya pili kwa mamsapu, Mwaka wa nne ya tatu , tena 4WD. Nyumba ikakamilika na ikawa poa kabisa.

Aliyenitimua job tukakutana hoteli moja maarufu huko Jiji letu Kuu, wote tukila bata! Alitahayari hata kunitazama usoni alishindwa.

Sasa hivi nilipo ni viwango ambavyo nsingefikiri kuvipata katika ajira.
Mungu ana makusudi katika kila limpatalo binadamu.
Mungu kweli ni mkubwa sana juu ya yote.

(N.B. Huu mkasa ni wa kweli kabisa na nimeuandikia kitabu ambacho kimechapishwa Marekani)
 
Umefanya vizuri kugundua hilo, hongera sana! Socrates aliwahi kusema: "The unexamined life is not worth living". Kuna mtu alishanishauri 'kutojihukumu kwa kupitiliza'. Tunafanya makosa mengi na inapotokea tukagundua, tunapaswa kusahihisha hayo makosa na kusonga mbele. Kufanya 'rehearsal' ya makosa ni kupoteza muda na fursa ya kufikiria mambo ya maana zaidi. Heri wewe umegundua kuwa miaka 10 imepita bure, mimi ni miaka 17 na ya kwangu inasikitisha zaidi. Ila matumaini yangu yako kwa Mwenyezi Mungu maana siwezi kufanya vizuri zaidi ku'rectify' makosa yangu bila msaada wake. Piga moyo konde Mwenyezi Mungu atakusaidia na huenda unaweza kufanikiwa zaidi na kuona pengine ndio ulikuwa mpango wa Mwenyezi Mungu.
Ahsante braza kwa andiko lako
lakini nikusahihishe kidogo, haya makosa niliyafnya 2009 2012 na yakanitesa mpaka 2015 nilipomaliza chuo na kuanza maisha mapya, hivyo nilitumikia almost miaka 5 bure na sio 10 kama ulivosema wewe
 
Hongera mkuu kwa kjitamba miaka 10 baada ya kuajiriwa.
Sisi wengine yaliyotupata ni noma kabisa.
Bada ya kufanya kazi miaka 12 mimi nikafukuzwa kazi kam kibarua.
Kosa?
Nilikuwa napiga mzigo na kupata umaarufu kuliko bosi wangu.
Ulaj nilukata katakata na kazi ilikuwa mbele!
Wazee wa mitoso wakakaa chini na kusema huyu kijana anaingia mjini kwa pupa, atatuulia wanetu kwa njaa.

Mipango ikasukwa na kukamilika ,shutuma zikattolewa na kuhakikiwa na wapambe.
Mwisho wa siku nukatakiwa kujielea ndani ya wiki kwa nini nsione mango wa kutokea nje.

Nikajitetea weee lakini wapi.
Mwisho nikapewa barua ya TOKA!

Hapo ndo maisha yakaanza
Sina nymba nina pagala, nikahamia humo humo, nfanyeje sasa!
Lakin Mungu hamtupi mja wake.

Nilipiga mzigo kiwenda wazimu, tena lile kiwenda wazimu haswa.
Hela ikaingia tena kuliko ile hela ya ajira.
Kufumba na kufumbua miaka mitano imepita na mi naendelea na mzigo spidi ile ile.
Sasa na pocih ikakubali, tena pochi si ya kitoto.

Nika nunua gari toka Japani, ya kwanza, mwaka mwingine ya pile mwaka wa nne ya tatu , tena 4WD.
Nyumba ikakamilika na ikawa poa kabisa.

Aliyenitimua job tukakuta hoteli maarufu huko Jiji letu Kuu, wote tukila bata!
Alitahayari hata kunitazama usoni alishindwa.

Sasa hivi nilipo ni viwango ambavyo nsingefikiri kuvipata katika ajira.
Mungu ana makusudi katika kila limpatalo binadamu.
mkuu hongera kwanza kwa mafanikio yako, lakini kwa nini umeonesha dhahiri nimejitamba kwenye hili andiko langu? kwa nini umefikiria hivo boss?
 
Asante sana mkuu kwa kunishtua sahiiiii

Ngoja nibadilikee from now

Ubarikiwe sana

#Stayhome
 
Ahsante braza kwa andiko lako
lakini nikusahihishe kidogo, haya makosa niliyafnya 2009 2012 na yakanitesa mpaka 2015 nilipomaliza chuo na kuanza maisha mapya, hivyo nilitumikia almost miaka 5 bure na sio 10 kama ulivosema wewe
Pole sana! Ni kweli nimebugi.
 
Back
Top Bottom