Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

Mimi kuna ile hali inanikuta kikitokea kitu au nikifanya kitu akili yangu inaniambia hilo tukio nilishawah kulifanya kabla yaani kila kitu kinachotokea nahisi niliwahi kufanya kabla

Hii inahusiana vipi je ni hisia tu au ndiyo nafsi imejirudia
 
Mimi kuna ile hali inanikuta kikitokea kitu au nikifanya kitu akili yangu inaniambia hilo tukio nilishawah kulifanya kabla yaani kila kitu kinachotokea nahisi niliwahi kufanya kabla

Hii inahusiana vipi je ni hisia tu au ndiyo nafsi imejirudia
(De jávù) i.e Umewahi kuishi kwenye mazingira hayo au yanayofanania na hayo kwenye uhai wako uliopita. Endapo itatokea zaidi ya mara mbili katika hali ile ile, itakuwa rahisi kuanza kutambua ulikuwa nani na ulifanya nini uhai uliopita
 
Kuna 'Kilipu; inazunguuka mitandaoni,
Bibi nadhani ana asili ya India, inasemekana katafuna miaka 136 ya Uhai.
Sasa sijui hizo nadharia na dhania zako zinasemaje boss kubwa?
Je,akifa atazaliwa tena baada ya miaka mingapi au inakuwaje kalikulesheni zake maana kala kama umri wa watu pengine watatu kwapamoja sababu expectancy ya wabongo wengi sasa ni inaogofya.
 
Wakati tunapata uhuru tulikuwa 2 million now tuko more than 60 million izi roho zingine zimetoka wapi?


Unayo rejea yoyote inayo support hii takwimu ya watu kipindi cha Uhuru?



History inasema vita ya Maji Maji 1905-1907, watanzania waliopoteza maisha ni kati ya elfu sabini na tano (75,000) na laki tatu (300,000).
 
Mkuu salama??

Bila Shaka mkuu hapa umeleta speculations

Unatuthibitishiaje kwa haya maelezo yako??


Kiranga
 
Kuna roho nyingi awaiting kuliko miili

Kimsingi hata hiyo idadi unayosomewa sio actually learn

Hii kitu ina make sense kuliko huko jehanam na peponi kwenu

Eti mtu akifa anaenda moton kuchomwa moto dah [emoji56]
Mkuu kabla ya yote

Roho ni nini??

Nitajuaje kwa ufasaha kwamba hii ni roho na hiii sio roho labda ni kitu kingine ambacho sijakujua??

Unaweza kuthibitisha pasipo na Shaka kwamba Kuna roho??
 
Unm
Kuishi milele ukiwa hujui kama ni wewe haina maana yoyote , ni sawa na mtu yupo kwenye koma tu, kabla sijabisha au kutaka kujua huyo anayekupa adhabu naomba niulize baadhi ya maswali na unijubu kama think tank kweli.
1. Je anayetoa adhabu au zawadi ni nani?, kama ni Mungu je ni wa aina gani kwa maana upande wa Abrahamic hatuamini hivyo.
2. Je ukirudishiwa nafsi katika viumbe ulivyotaja kuwa ni adhabu mfano panya, je at first time panya waliumbwa kama adhabu tu?
 
Hii ni kweli kabisa nakumbuka wakati fulani niliwahi kuishi ufaransa tuliandamana na kumchinja yule mfalme yale maandamano yalikua makubwa sana tangu pale sikumbuki kitu nimejikuta tu nipo Tanganyika
 
"Basi imani ni kuwa na hakika ya mambo yatarajiwayo, ni bayana ya mambo yasiyoonekana.
Basi Hapo bro unaweza kuanzisha Dini yako ukapiga hela. 😵 😵 Si ulisikia ya Mackenzie?
 
Sio tu wa kike, kuna baadhi ya wanyama selective ambao roho yako inaweza kuwa humo. Baadhi yao ni ngamia, nyoka, sokwe, paka, fisi, n.k

I.e Unaweza kuzaliwa kama ngamia pia
Let say umezaliwa kama NGAMIA.then ukachinjwa na kuliwa nyama,roho yako inaenda wapi tena?
 
what did you feel.?
 
Mamndenyi na wewe pia unatupanga?
 
Kama ingelikuwa kila mtu anapewa fursa ya kutoa mawazo yake yaliyomo kichwani jinsi anavyofikiria juu ya haya maisha, wengine wangeliuwa watu kwa mawazo yao ya kutisha, wachina zamani kuna watu wao waliowaamini walikuwa na mawazo kama yako lkn wao waliamini ukifa utazaliwa tena sehemu nyengine ya dunia, bahati mbaya hayo yalikuwa ni mawazo ya wachina wa zamani ambao hawakuwa na uwezo wa kufikiri vyema, hayo ni mawazo ya waliopitwa na wakati japo kwa mbaali mtu asiyefikiria vizuri anaweza kuamini, Mwenyezi Mungu ametupa masikio 2 ili tuweze kusikia mengi na macho mawili ili tuweze kuona mengi, lakini ametupa mdomo mmoja ili tuweze kusema machache ambayo yatatufaidisha, hakuna faida yoyote mtu anapata kwa kusema kila analolisikia au kuliona, kwani mengine hayajengi yanaharibu, kama Mungu amekupa nafasi ya kujua kitu chochote chenye manufaa kwa jamii kifundishe wengine wakijue, lakini ukiamua tu kusema unachojisikia wenye hekima zao watakuona punguani.
 
ccm oyee

Swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…