Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HakikaLacks scientific evidence or verifiable data
Hakuna marehemu anayerudi duniani. Hali ya kutokewa na wafu ni Hallucination ambayo hupelekewa na wasiwasi ama uhusiano wa karibu na nfu huyo, ama malaria iliyokithiri wakati mtu huyo anafarikiTell me about wonder souls .. yan mara utokewe na marehem anakufata au anakupa ujumbe , hapa huwa inakuwaje wakat anapaswa kuwa kwenye period ya kufutika kumbukumbu
Baba yangu aliyefariki 2001 , baada ya kufa kwake tukiwa tunawasiliana kwa ndoto mara kwa mara.
Baada ya miaka 15 ya kifo chake aliniaga kwamba roho yake imewekwa kwenye mnyama fulani hapa sitamtaja.
Na akaaniambia wazi hicho ulichokiandika hapo juu.
Hivyo ni kweli kabisa
Hii kweli kabsa, yaan unfny jmbo lakin akili inkuj kwamba ushawah kufnya hlo jmbo huko nyuma lkn Kwa mazngra halisi linkuwa jmbo geniMimi kuna ile hali inanikuta kikitokea kitu au nikifanya kitu akili yangu inaniambia hilo tukio nilishawah kulifanya kabla yaani kila kitu kinachotokea nahisi niliwahi kufanya kabla
Hii inahusiana vipi je ni hisia tu au ndiyo nafsi imejirudia
Yaan kma mimiMimi kuna ile hali inanikuta kikitokea kitu au nikifanya kitu akili yangu inaniambia hilo tukio nilishawah kulifanya kabla yaani kila kitu kinachotokea nahisi niliwahi kufanya kabla
Hii inahusiana vipi je ni hisia tu au ndiyo nafsi imejirudia
Source of this information ni ipi? Hoja yako haina mashiko.Na ndivyo ilivyo. Baada ya kifo chako tu, utapotea kwenye uwepo wa huu ulimwengu kwa muda wa miaka 100 baada ya hapo utazaliwa tena kwa mara nyingine
Kipindi cha hiyo miaka 100 ndiyo huitwa LRP ( Life Refractory Period), kipindi hiki kipo kwa lengo la kufuta kumbukumbu zote zilizopo kwenye akili ya roho husika ili kuzuia kumbukumbu kuhama kutoka mwili mmoja kwenda mwili mwingine, japokuwa kwa baadhi ya watu wengine asilimia chache za kumbukumbu uhama kutoka mwili mmoja kwenda mwingine, hapo ndipo hutokea kile tunaita de jávù, au baadhi ya watu kuexperience mambo ambayo hawajawahi kuyapitia
Kumbuka, mwili ni lazima ufe ili kukamilisha kile tunaita Ecological System. Idadi ya roho zilizopo ulimwenguni ni zile zile, hazijawahi kuongezeka ama kupungua, maana rahisi ni kuwa kamwe hautotoweka ulimwenguni mazima, ila tambua kuwa baada tu ya kufa, hauto experience fahamu yoyote, unakuwa sawa na mtu aliyelala usingizi mzito mpaka pale utakapomaliza miaka yako yote 100 ya LRP
Niwatakie maandalizi mema ya vifo na mapokezi mema ya kuzaliwa kwa mara nyingine baada ya miaka 100 baadae
AiseeBaba yangu aliyefariki 2001 , baada ya kufa kwake tukiwa tunawasiliana kwa ndoto mara kwa mara.
Baada ya miaka 15 ya kifo chake aliniaga kwamba roho yake imewekwa kwenye mnyama fulani hapa sitamtaja.
Na akaaniambia wazi hicho ulichokiandika hapo juu.
Hivyo ni kweli kabisa