Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

Kama ni miaka 2000 ndio umri wa dunia tangu Kristo aje kwahiyo mleta mada kashaletwa duniani mara 20 halafu hakumbuki chochote. Basi huyu atakuwa mjinga mkuu kutokea
 
Tell me about wonder souls .. yan mara utokewe na marehem anakufata au anakupa ujumbe , hapa huwa inakuwaje wakat anapaswa kuwa kwenye period ya kufutika kumbukumbu
 
Tell me about wonder souls .. yan mara utokewe na marehem anakufata au anakupa ujumbe , hapa huwa inakuwaje wakat anapaswa kuwa kwenye period ya kufutika kumbukumbu
Hakuna marehemu anayerudi duniani. Hali ya kutokewa na wafu ni Hallucination ambayo hupelekewa na wasiwasi ama uhusiano wa karibu na nfu huyo, ama malaria iliyokithiri wakati mtu huyo anafariki
 
Hiki kitu nimewahi kusikia kwa watu tofauti kuwa baada ya kifo roho yako inapewa mwili mwengine,sasa hapo itategemea na mwili kama ni wa mnyama au binadamu na huwa inakuwa hivyo kutokana na maisha uliyokuwa unaishi hapa duniani na niliuliza ni Kwann inakuwa hivyo nikaambiwa kakuwa pepo na moto vyote vipo hapahapa Duniani na duniani ni sehemu ya kujifunza tu kwahyo hutakiwi kuhoji kwanini fulani yupo hivi wala yule yupo hivi vile alivyo ndio mtihani wenyewe.
 
Mimi kuna ile hali inanikuta kikitokea kitu au nikifanya kitu akili yangu inaniambia hilo tukio nilishawah kulifanya kabla yaani kila kitu kinachotokea nahisi niliwahi kufanya kabla

Hii inahusiana vipi je ni hisia tu au ndiyo nafsi imejirudia
Hii kweli kabsa, yaan unfny jmbo lakin akili inkuj kwamba ushawah kufnya hlo jmbo huko nyuma lkn Kwa mazngra halisi linkuwa jmbo geni
 
Mimi kuna ile hali inanikuta kikitokea kitu au nikifanya kitu akili yangu inaniambia hilo tukio nilishawah kulifanya kabla yaani kila kitu kinachotokea nahisi niliwahi kufanya kabla

Hii inahusiana vipi je ni hisia tu au ndiyo nafsi imejirudia
Yaan kma mimi
 
Source of this information ni ipi? Hoja yako haina mashiko.

Hakuna nafsi iliopotea..na kila mtu anapozaliwa inatengenezwa nafsi nyingine mpyaaa.

Kama ulimwengu upo vilevile...kwanini watu huzaliwa??

Why reproduction?

Sasa wewe endelea kujidanganya hivyoivyo.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Utafiti umefanyika? Hiyo ni imani ambayo haishirikishi ubongo katika kufikiri. "I need reason and not faith ".
 
Kitu cha kuomba usizaliwe mtu mweusi ni laana [emoji28]
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…