Hizb Tahrir Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 18, 2020
- 258
- 235
Khilafah ni serikali ya kiulimwengu ya kiislamuUngefafanua vizuri,nauheshimu sana Uislamu
Tusimamishe nini Sheikh? Hawa vijana maamuma usipoweka taarifa vizuri wanaweza kudhania vitu vingine. Ni mtazamo wangu Sheikh nikiwa kama Mwalimu wa Mawasiliano fasaha"ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI"
Ndugu yangu usiwe na chuki dhidi ya Uisilamu.Anaposema ukharifa huyo ni kiongozi wa Waisilamu kama vile wakristo Kwa Papa,Huko Syria ISIL wamepokea kipigo cha Mbwa mwizi kwa kuleta hao ukhatifa na kuuwa waislam wenzao .ni upuuzi mkubwa na ugaidi ukharifa waulize mashekhe wa uamusho wale magaidi wa Zanzibar wako wapi au wale jamaa zenu wa kibiti .
Uislamu maana yake ni ubaguzi nilishaconclude hiliKila mtu akitaka dini yake itawale dunia, yeyote hatabaki salama.
Huu ndio upumbavu wa dini. Kujiona wewe ndiye una ukweli wa Mungu na wengine wote wasio katika dini yako wapotofu.
Ndiyo maana wengine tumezikataa dini.
Khalifa yuko wapi au ndio yule kiongozi wa ISIL ambaye U.S. wamemla kichwa kwa bomu la tani tanoNdugu yangu usiwe na chuki dhidi ya Uisilamu.Anaposema ukharifa huyo ni kiongozi wa Waisilamu kama vile wakristo Kwa Papa,
Khilafah ndio nini, this is arrogance, kuamini kwamba kila mtu anatakiwa ajue kitu ambacho hakifahamiki nje ya jumuiya yako ni arrogance ya hali ya