Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Ukisema hivyo, ni kama kusema kunyoa kipara ni style ya kusuka nywele!Upo sahihi. Wakana Mungu nao wana yao dini. Hili tulishawahi jadili na Kiranga huko nyuma
Mungu Yupo: Majibu kwa Wasioamini
Nimeifuatilia kwa Muda kiasi nyuzi hii https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/530789-mungu-hayupo-nahitaji-majibu-ya-maswali-haya-ili-nikubaliane-na-kiranga.html ambayo imekutanisha watu wa aina mbalimbali. Kwa kuwa nina ufahamu kiasi fulani ningependa kuanzisha mjadala huu tena. Swali...www.jamiiforums.com