Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Upo sahihi. Wakana Mungu nao wana yao dini. Hili tulishawahi jadili na Kiranga huko nyuma

Ukisema hivyo, ni kama kusema kunyoa kipara ni style ya kusuka nywele!
 
Ukisema hivyo, ni kama kusema kunyoa kipara ni style ya kusuka nywele!
Truly Apples and oranges !
Can you prove 100% there is no God? If you can't then you just believe there is no God. A belief just like God exists!
 
Mimi ni mkristo nakupa hiyo utake usitake ukristo ndio unaotawala dunia kuna vitu vingi sana vipo wazi kikubwa zaidi ni kuzaliwa christo(christmas) dunia nzima inasherekea mbaka mabudha nk na tarehe hii tunayotumia na calenda ni christian system
Utawala wa dini yoyote si mzuri.

Your point, whether true or not, is irrelevant to my argument.

Mimi nasema mume kumpiga mke ni kitu kibaya. Mune yeyote.

Wewe unasema kwa kujutapa kwamba baba yako ndiye mwanamme aliyeshinda katika kupiga mke.

Your contribution is totally beside my point.
 
Truly Apples and oranges !
Can you prove 100% there is no God? If you can't then you just believe there is no God. A belief just like God exists!
Kwani nikiamini jua litachomoza kesho tayari nina dini kwa sababu naamini jua litachomoza kesho?

Kuamini chochote maana yake ni dini?
 
Kwani nikiamini jua litachomoza kesho tayari nina dini kwa sababu naamini jua litachomoza kesho?

Kuamini chochote maana yake ni dini?
Nadhani hili nimeli address kwenye thread tuliyo debate last time. Link ipo juu. Unaweza kuipitia ili upate majibu.

Hii thread tuiache kwa huyu ndugu anataka dunia iwe chini ya Khalifa. Nadhani hajawahi kusoma historia ya dini yake vizuri. Wenzake wapo waliojifunza the hard way.

Tusimuharibie uzi wake!
 
Nadhani hili nimeli address kwenye thread tuliyo debate last time. Link ipo juu. Unaweza kuipitia ili upate majibu...
Usikimbie swali.

Kwani nikiamini jua litachomoza kesho tayari nina dini kwa sababu naamini jua litachomoza kesho?

Kuamini chochote maana yake ni dini?

Hujajibu swali.

Kama umejibu weka link ya post number uliyojibu.

Tupo katika dunia ya hypertext hapa usitake kuleta uongo wa kizamani wakati JF inatunza mijadala.

Zaidi, hujathibitisha Mungu yupo.
 
Usikimbie swali.

Kwani nikiamini jua litachomoza kesho tayari nina dini kwa sababu naamini jua litachomoza kesho?....
Naona unaleta ligi. Huna evidence yeyote kwamba kesho LAZIMA jua litachomoza. Ila unaamini based on previous experience kwamba litachomoza. Kama una evidence tuonyeshe.

Kwenye kaulimwengu kako ambako Mungu hayuko, kila kitu kinapaswa kuwa random. Ikiwemo jua kuchomoza na kutochomoza randomly. Nime address kwa kirefu kwenye multiple posts na sitaki kuugeuza huu uzi kuwa debate ilhali kuna uzi nineeleza kwa kina.

Halafu uongo kwenye dunia yako ya "human is but molecules and all is natural" maana yake ni nini? Kwenye dunia yako ambako hakuna Mungu maana yake hakuna ukweli wala uongo, vilivyopo vipo.
 
Just to close the matter on my side, ukishaamini hakuna Mungu maana yake binadamu ni kuwa binadamu anaamua based on random chemical reactions on brain. No mind at all. That being the case, why are we even arguing?

Your random chemicals might say what they want to say and mine will say what they want to say. No need to agree or disagree. Indeed chemicals have no need or obligations to do anything but react randomly. No need for argument at all...
 
Naona unaleta ligi. Huna evidence yeyote kwamba kesho LAZIMA jua litachomoza. Ila unaamini based on previous experience kwamba litachomoza. Kama una evidence tuonyeshe...
Nimekuuliza swali hujalijibu.

Nikiamini kuwa jua litachomoza kesho, tayari nina dini kwa sababu ya imani hiyo tu?

Hujajibu swali hilo.
 
Just to close the matter on my side, ukishaamini hakuna Mungu maana yake binadamu ni kuwa binadamu anaamua based on random chemical reactions on brain. No mind at all. That being the case, why are we even arguing? Your random chemicals might say what they want to say and mine will say what they want to say. No need to agree or disagree. Indeed chemicals have no need or obligations to do anything but react randomly. No need for argument at all...
Logical non sequitur nyingibsana mpaka tabu kuziorodhesha zote.

1. Si kweli kwamba ikiwa hakuna Mungu kila kitu anachofanya mtu ni random.

2.Hi hqbqri ya "Hakuna Mungu = No mind" hata ilipoanzia siijui.

I can actually argue the opposite. Kwamba dunia yenye Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendonwote ndiyo yenye "no mind at all".

Kwa sababu kitu chochote utakachokiita "mind" kitakuwa ni simulation iliyopangwa na Mungu kama game, tangu anaumba ulimwengu. Anajua maisha yakobm yataanzaje na kuishaje kabla hujazaliwa.

Anajua utakachofanya kabla hujakifanya. Hicho unachofikiri wewe kuwa ni mind yako si mind yako, ni simulation tu ya huyo Mungu kama vile character wa movie anavyokuwa hana mind anaishi kuendana na script aliyopangiwa.

Sasa hapo tunaona Mungu huyu kuwapo kwake kunazuia kuwapo kwa mind kwa viumbe, not the opposite.

God = No human mind, just a simulation.

No God = possibility of human mind.
 
Kwani kusheherekea ni nini?

Unajuaje kwamba huyu kasherekea krismas na sio kwamba yupo katika utaratibu wake wa siku zote tu?

Kipi kiashiria kinachoonesha huyu anasherehekea na huyu hasheherekei?
Navyosema wanasherekea namaanisha ni shamra shamra na kufata kama mkristo yoyote afanyavyo na unakuta kila unakopita mfano india kwenye maeneo ya wahindu au china vivyo hivyo mbaka uarabun ambako ni nchi za kiislam but ukiona video zilitapakaa sana ni shamra za kufa mtu mbaka huwezi amini
 
Papa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?

Sio lazima kulazimisha dini zote zifanane. Kabla haujaongelea imani jifunze angalau vitu vya msingi kabla hujapotosha!
Nashukulu nimetumikia
Papa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?

Sio lazima kulazimisha dini zote zifanane. Kabla haujaongelea imani jifunze angalau vitu vya msingi kabla hujapotosha!

Papa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?

Sio lazima kulazimisha dini zote zifanane. Kabla haujaongelea imani jifunze angalau vitu vya msingi kabla hujapotosha!
Unaniuliza majukumu ya khalifa Mimi niliyejisarimisha kwa Mwenyezi Mungu,Labda nikufundishe wewe,Maana nilikuwa kwenye Ujahili kwa miaka mingi sana,nakukalibisha hata wewe kwenye Dini ya haki Uisilamu
 
Ujamaa na ubepari ni dini (imani) au ni mfumo wa maisha ya kiutawala?
Kila mfumo wa maisha(ideology) ni dini, lakini si Kila dini ni mfumo wa maisha. Kwahiyo dini ya ubepari kwavile ni mfumo wa maisha una political system yake ambayo inaitwa democracy. Hali kadhalika ujamaa na uislamu nazo zina political system zao
 
Ukishasema tu dini yangu ndiyo sahihi, zenu mmekosea, ushataka kumtawala mwingine kinawazo hapo.

Dini zote ni siasa.

Dini ni siasa za kale zilizovikwa joho la utakatifu wa Mungu asiyethibitishika.

Ni jitihada za kujilimbikizia nguvu, mali, ardhi, watumwa, utawala, ushawishi na utakatifu uliojengwa kwenye uongo.
Dini Kama ilivyo vitu vingine hapa duniani Kuna sahihi na ambazo si sahihi. Muhimu ni kupima usahihi kwa vipimo vinavyokubaliana na akili
 
Back
Top Bottom