rommy shabby
JF-Expert Member
- Jun 26, 2017
- 1,123
- 1,302
Mnadanganywa bure na hao viongoz wenu waloishia STD 4
Hahahaha eti mgunduz wa saa ya mishale mitatu, sasa saa ya mishale mitatu inakusaidia nn? Hapa nazungumzia watu Kama kina Newton,wagundunduz wa simu,ndege,magari nkTatizo lako chuki imekujaa na sio kosa lako kosa la viongozi wako mashoga na muda si mrefu utachumbiwa maana papa ameshabariki ndoa za jinsia moja huko. eti waislam hawajasoma wamjua mgunduzi wa hesabu za algebra ww na mgunduzi wa saa za mishele mitatu je, vp kuhusu mo na bakharesa je nao hawakusoma, Al hajj dangote vp! !Osama mwenye alisoma hadi basi
Mbona Yesu wenu ktk picha Ana ndevu na hakujua hata kusoma lakini alifanikiwa!?Hahaha enzi za sasa sio za faraó,huwez tawala dunia ya wasomi ilhali wewe Ni kilaza unaejua kufuga to ndevu, mtaendelea kusubiri meli airport
Huna unalolijua ktk sayansi na ugunduzi hao kina Newton wako si lolote mbele ya kina Algebra, Avicena, nkHahahaha eti mgunduz wa saa ya mishale mitatu, sasa saa ya mishale mitatu inakusaidia nn? Hapa nazungumzia watu Kama kina Newton,wagundunduz wa simu,ndege,magari nk
Hamna lolote hata huyo Osama unaesema kasoma si kasoma elimu hiyo hiyo ya mzungu? Kwenye dunia ya sasa karibu 97% ya teknolijia Ni za wazungu kwahyo huwez kusema mtasimika khalifah wakati hata elimu hamna
watu wengi kwenye dini zao wananyenyekea miungu wanayoiamni na sio waislam ,kwahiyo usigeneralize tu kunyenyekea ni uslamUislam ni kunyenyekea mbele za mungu
Religion of peace ni inafundisha peace ila hawai-achieve peace
utakufa na kizazi chako kitakufa hakuna hitu kama hicho kutokeaKhilafa itarudi tu ndio sababu America nd Europe hawalali coz wapo kama wayahudi watu wa kitabu wanajua fika Khilafa itarudi tu hili haliepukiki ni swala la muda tu
Khilafah ilikuwepo na itarejea Tenautakufa na kizazi chako kitakufa hakuna hitu kama hicho kutokea
Sawasawa wazee wa kubazi,endeleen kusubiri Meli airportKampeni imeisha salama, tunatoa shukran zetu za dhati kwa Waislamu na ummah kwa ujumla kwa kutuunga mkono, jzk
Pyeeee......Khilafah ilikuwepo na itarejea Tena
Shukran ndugu yetuSawasawa wazee wa kubazi,endeleen kusubiri Meli airport