Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Tatizo lako chuki imekujaa na sio kosa lako kosa la viongozi wako mashoga na muda si mrefu utachumbiwa maana papa ameshabariki ndoa za jinsia moja huko. eti waislam hawajasoma wamjua mgunduzi wa hesabu za algebra ww na mgunduzi wa saa za mishele mitatu je, vp kuhusu mo na bakharesa je nao hawakusoma, Al hajj dangote vp! !Osama mwenye alisoma hadi basi
Mnadanganywa bure na hao viongoz wenu waloishia STD 4
 
Tatizo lako chuki imekujaa na sio kosa lako kosa la viongozi wako mashoga na muda si mrefu utachumbiwa maana papa ameshabariki ndoa za jinsia moja huko. eti waislam hawajasoma wamjua mgunduzi wa hesabu za algebra ww na mgunduzi wa saa za mishele mitatu je, vp kuhusu mo na bakharesa je nao hawakusoma, Al hajj dangote vp! !Osama mwenye alisoma hadi basi
Hahahaha eti mgunduz wa saa ya mishale mitatu, sasa saa ya mishale mitatu inakusaidia nn? Hapa nazungumzia watu Kama kina Newton,wagundunduz wa simu,ndege,magari nk
Hamna lolote hata huyo Osama unaesema kasoma si kasoma elimu hiyo hiyo ya mzungu? Kwenye dunia ya sasa karibu 97% ya teknolijia Ni za wazungu kwahyo huwez kusema mtasimika khalifah wakati hata elimu hamna
 
Watu wasiokuwa na ufahamu wowote wa Dini hubishaniana masuala ya dini.Watu kama hao unaachana nao wasije wakakutukania Mwenyezi Mungu wako wa kweli
 
Hahahaha eti mgunduz wa saa ya mishale mitatu, sasa saa ya mishale mitatu inakusaidia nn? Hapa nazungumzia watu Kama kina Newton,wagundunduz wa simu,ndege,magari nk
Hamna lolote hata huyo Osama unaesema kasoma si kasoma elimu hiyo hiyo ya mzungu? Kwenye dunia ya sasa karibu 97% ya teknolijia Ni za wazungu kwahyo huwez kusema mtasimika khalifah wakati hata elimu hamna
Huna unalolijua ktk sayansi na ugunduzi hao kina Newton wako si lolote mbele ya kina Algebra, Avicena, nk
 
Mpaka sasa hakuna aliyejibu na kutatua contradictions zilizopo katika Quran.

Kwa sababu hazijibiki.

Kwa sababu Quran ni kitabu cha hadithi nyingi za uongo zilizotungwa na watu tu.

Hizi habari zote za kitabu kushushwa na Mungu ni uongo tu.

Na kwa hiyo, msingi mzima wa Uislamu ni uongo tu.

Hiyo ndiyo habari, haya mengine ni "Mazungumzo baada ya habari".
 
Uislam ni kunyenyekea mbele za mungu

Religion of peace ni inafundisha peace ila hawai-achieve peace
watu wengi kwenye dini zao wananyenyekea miungu wanayoiamni na sio waislam ,kwahiyo usigeneralize tu kunyenyekea ni uslam
 
Khilafa itarudi tu ndio sababu America nd Europe hawalali coz wapo kama wayahudi watu wa kitabu wanajua fika Khilafa itarudi tu hili haliepukiki ni swala la muda tu
utakufa na kizazi chako kitakufa hakuna hitu kama hicho kutokea
 
Kampeni imeisha salama, tunatoa shukran zetu za dhati kwa Waislamu na ummah kwa ujumla kwa kutuunga mkono, jzk
 
Back
Top Bottom