Mimi ni mkristo nakupa hiyo utake usitake ukristo ndio unaotawala dunia kuna vitu vingi sana vipo wazi kikubwa zaidi ni kuzaliwa christo(christmas) dunia nzima inasherekea mbaka mabudha nk na tarehe hii tunayotumia na calenda ni christian systemKila mtu akitaka dini yake itawale dunia, yeyote hatabaki salama.
Huu ndio upumbavu wa dini. Kujiona wewe ndiye una ukweli wa Mungu na wengine wote wasio katika dini yako wapotofu.
Ndiyo maana wengine tumezikataa dini.
Dini zote ni ubaguzi.Uislamu maana yake ni ubaguzi nilishaconclude hili
Uislam ni kunyenyekea mbele za munguUislamu maana yake ni ubaguzi nilishaconclude hili
Nahisi imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba duniaKila mtu akitaka dini yake itawale dunia, yeyote hatabaki salama.
Huu ndio upumbavu wa dini. Kujiona wewe ndiye una ukweli wa Mungu na wengine wote wasio katika dini yako wapotofu.
Ndiyo maana wengine tumezikataa dini.
Kwani kusheherekea ni nini?Mimi ni mkristo nakupa hiyo utake usitake ukristo ndio unaotawala dunia kuna vitu vingi sana vipo wazi kikubwa zaidi ni kuzaliwa christo(christmas) dunia nzima inasherekea mbaka mabudha nk na tarehe hii tunayotumia na calenda ni christian system
Hiyo khilafah ndugu yetuTusimamishe nini Sheikh? Hawa vijana maamuma usipoweka taarifa vizuri wanaweza kudhania vitu vingine. Ni mtazamo wangu Sheikh nikiwa kama Mwalimu wa Mawasiliano fasaha
Si dini zote zina political system mfumo wa utawala, dini zenye mfumo wa utawala ni tatu tu: Ujamaa, Ubepari, na UislamuNahisi imani ndio ugonjwa mbaya kabisa wa akili kuwahi kuikumba dunia
Nyie ndo mnasapoti makundi ya kigaidi wanaotaka dola ya kiislamu ama hamsapoti ?HIZB UT TAHRIR YAZINDUA KAMPENI YA KIULIMWENGU KWA ANUANI:
"ENYI WAISLAMU ISIMAMISHENI"
Kuweni pamoja na wanaofanya kazi ya Kusimamisha Khilafah Rashida kwa njia ya Utume, Huenda Mwenyezi Mungu (swt) akaiondoa kwayo huzuni hii kutoka kwa wengine kama alivyoiondoa kwa mfano wake huzuni kutoka kwa wabora wa mwanzo.
Rajab 1442 H - 2021 M
#TurudisheniKhilafah
#أقيموا_الخلافة
#YenidenHilafet
#ReturnTheKhilafah
#خلافتکوقائم_ک
Khilafah haisimamishi kwa vurugu ndugu yetuInshallah! Inshallah!! Inshallah!! 🙄
Muhimu tu msituletee zile itikadi zenu za Jihads!! Au Kujitoa Muhanga.
Kwanza Tanzania Haina sifa ya kuanzia dola ndugu yetu, Bali khilafah itaanzia nchi kubwa za WaislamuNyie ndo mnasapoti makundi ya kigaidi wanaotaka dola ya kiislamu ama hamsapoti ?
Nyie mnatumia njia gani kutaka kusimamisha dola ya kiislamu hapa tanzania ?
Nitaendelea kuuliza kadri nitakavyo jibiwa.
Allah AkbarTakbeeerrr
Hata nyie mnaosema hizi dini ni uongo pia ni wabaguzi maana yake mnaona kuwa njia mnayoifuata ya kukataa dini ndio ukweli.Dini zote ni ubaguzi.
Ubaguzi wa kusema hii dini ndiyo ya kweli, nyingine uongo.
Bila ya ubaguzi huo, kitu hakiwezi kuwa dini.
Ili ianzie kuwa dola iwe na sifa gani ambazo hizo sifa zinaendana sifa za Nchi hizo za waislamu ?Kwanza Tanzania Haina sifa ya kuanzia dola ndugu yetu,
Kwa nini ianzie huko khilaafa ?Bali khilafah itaanzia nchi kubwa za Waislamu
Hata nyie mnaosema hizi dini ni uongo pia ni wabaguzi maana yake mnaona kuwa njia mnayoifuata ya kukataa dini ndio ukweli.
Hivyo bwana kiranga na nyie watu msiokubali dini ni wabaguzi pia
Naam haswaaaa mkuu mokaze.Na wao wanavutia upande wa DINI yao ya kutoamini Mungu, kwa hiyo maana yake naye ni mbaguzi kwa kujiona kwamba imani yake ya kutokuamini Mungu ni bora kuliko imani za kuamini Mungu.
✔✔✔✔
Papa ni kiongozi wa Wakatoliki. Waprotestanti hawana papa. Khalifa ni kiongozi wa Ummah wa Waislam. Unayajua majukumu ya Khalif wewe au unaongea tu alimradi umeongea?Ndugu yangu usiwe na chuki dhidi ya Uisilamu.Anaposema ukharifa huyo ni kiongozi wa Waisilamu kama vile wakristo Kwa Papa,
Upo sahihi. Wakana Mungu nao wana yao dini. Hili tulishawahi jadili na Kiranga huko nyumaNaam haswaaaa mkuu mokaze.
Manake kuna imani ya kuthibitisha na imani ya kukanusha.
Unapothibitisha kitu maana yake unakanusha kinye chake,na unapokanusha kitu maana yake unathibitisha kinyume chake.
Hivyo wapinga dini nao wana imani ya kukanusha dini,wasije sema hiyo sio imani itakuwa kichekesho.
Ukishasema tu dini yangu ndiyo sahihi, zenu mmekosea, ushataka kumtawala mwingine kinawazo hapo.Si dini zote zina political system mfumo wa utawala, dini zenye mfumo wa utawala ni tatu tu: Ujamaa, Ubepari, na Uislamu