Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hekaya za abunuwasi .Tafuta kuhusu "caliphate" ktk mitandao ujifunze zaidi. Karibu
Inasimamishwaje? Kwa Amani? Hebu mjibu Safuher hapo juu kisha tuendelee sheikhKhilafah haisimamishi kwa vurugu ndugu yetu
Hivi Una Akili na Ufahamu weyee?Kwanza Tanzania Haina sifa ya kuanzia dola ndugu yetu, Bali khilafah itaanzia nchi kubwa za Waislamu
Ehee unapimaje usahihi?Dini Kama ilivyo vitu vingine hapa duniani Kuna sahihi na ambazo si sahihi. Muhimu ni kupima usahihi kwa vipimo vinavyokubaliana na akili
Acha kujidanganya! Dunia mzima ya wapi?! NI mabudha wa wapi hao wanaosherehekea sikukuu zetu? Yaani unataka kusema hadi Middle East na Far East wanaacha mambo yao kusherehekea sikukuu zetu? Na ninaposema Middle East ni pamoja na Israel ambayo Jumapili kwao ni siku ya kazi kama ilivyo Jtatu kwa mataifa mengine!
[/QUOTE
Kama hujui hilo kaa kimyaa tu gunia wewe upo upo tu hujui dunia inaendaje
Badala ya kuongea lugha za kishenzi, ungejibu nilichokuulizaKama hujui hilo kaa kimyaa tu gunia wewe upo upo tu hujui dunia inaendaje
Umekimbia suala la contradiction bila kujibu hata contradiction moja.Siku mada ikiwa ni contradictions tutajibu huko kuchanganyikiwa kwako na utaelewa Ila kwa leo tujadili mada kwanza. Kwanini unataka kuhama mada ndigu yetu una ajenda gani yaani?
Kwenye uwo utawala wa khilafah, tutaruhusiwa kweli kuendelea kula kitimotoozi nakufuga au ndio tutakatwa mikono na kupigwa mawe.
Nimemwambia Quran ina contradictions. Hivyo si kitabu kitakatifu.Muanzishaji wa hii thread kumbuka hapa JF kuna wadau wanakuangalia tu unavyojikoki na mada yako, unakuta wao wanaelewa kuliko wewe, so ulipoanzisha huu mjadala wa kutaka serikali yako ya kidini dunia nzima please, simamie huu mjadala mpaka utakapoenda kurasa za nyuma.
That's why nilimpa tahadhari mapema kabla jua halijachwa!Nimemwambia Quran ina contradictions. Hivyo si kitabu kitakatifu.
Kasema zilete hizo contradictions.
Nikamletea hapo juu.
Kazikimbia zote, hakujibu hata moja.
Anasema mada si contradictions.
Anajisahaulisha kwamba ni yeye mwenyewe aliyenitaka nizilete hizo contradictions.
Muislamu kaogopa challenge!
Jipe moyoKhilafa itarudi tu ndio sababu America nd Europe hawalali coz wapo kama wayahudi watu wa kitabu wanajua fika Khilafa itarudi tu hili haliepukiki ni swala la muda tu
ππππMiaka 100 utahesabu na kuhesabu nani anataka kuongozwa kigaidi labda usimamishe dushee tu
Tafiti zinaonesha huko Uarabuni Uislamu ulipoanzia, watu wanazidi kuona imani ya Uislamu, na hata imani ya kuwepo Mungu ni potofu.Khilafa itarudi tu ndio sababu America nd Europe hawalali coz wapo kama wayahudi watu wa kitabu wanajua fika Khilafa itarudi tu hili haliepukiki ni swala la muda tu
Mkuu naona unavutia sana upande wako,kwanini unalazimisha utawala uwe wa kikhalifa?Hata tunavyoawaliwa na ubepari si wote tunataka
Majini yake ndio yanamuongoza hivyo.Mkuu naona unavutia sana upande wako,kwanini unalazimisha utawala uwe wa kikhalifa?
Huoni hapo unawaminya wenzako wa Imani nyingine?
Je kila imani ikitaka kujitawala mbona dunia nzima itakuwa ni machafuko?
Unajua tofauti Kati ya kuamini na kujua?Naam haswaaaa mkuu mokaze.
Manake kuna imani ya kuthibitisha na imani ya kukanusha.
Unapothibitisha kitu maana yake unakanusha kinye chake,na unapokanusha kitu maana yake unathibitisha kinyume chake.
Hivyo wapinga dini nao wana imani ya kukanusha dini,wasije sema hiyo sio imani itakuwa kichekesho.
Nipe wewe tofautiUnajua tofauti Kati ya kuamini na kujua?
Nipe wewe tofautiUnajua tofauti Kati ya kuamini na kujua?