Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Tafuta kuhusu "caliphate" ktk mitandao ujifunze zaidi. Karibu
Hekaya za abunuwasi .

Kupaka rangi upepo

Islamic state ISIS magaidi

Tukiijua sura yako tunapita na wewe mnataka kutuchafulia nchi wapuuzi nyinyi.

Kama unataka Sana hayo mambo yako nenda kawafuate hao waarabu wenzako huko Syria mmatumbi wa newala wewe.
 
Kwanza Tanzania Haina sifa ya kuanzia dola ndugu yetu, Bali khilafah itaanzia nchi kubwa za Waislamu
Hivi Una Akili na Ufahamu weyee?

Kama Tanzania haina sifa ya kuanzia dola hiyo ya Khilafar kwanini unawashawishi Watanzania waisimamishe?

Hapa JF kuna waislam wa hizo nchi kubwa?

Kwanini usiende Saudi Arabia au nchi yoyote kubwa kuhamasisha waianzishe?

Jibu kinagaubaga tuendelee.
 
Acha kujidanganya! Dunia mzima ya wapi?! NI mabudha wa wapi hao wanaosherehekea sikukuu zetu? Yaani unataka kusema hadi Middle East na Far East wanaacha mambo yao kusherehekea sikukuu zetu? Na ninaposema Middle East ni pamoja na Israel ambayo Jumapili kwao ni siku ya kazi kama ilivyo Jtatu kwa mataifa mengine!
[/QUOTE
Kama hujui hilo kaa kimyaa tu gunia wewe upo upo tu hujui dunia inaendaje
 
Muanzishaji wa hii thread kumbuka hapa JF kuna wadau wanakuangalia tu unavyojikoki na mada yako, unakuta wao wanaelewa kuliko wewe, so ulipoanzisha huu mjadala wa kutaka serikali yako ya kidini dunia nzima please, simamie huu mjadala mpaka utakapoenda kurasa za nyuma.
 
Siku mada ikiwa ni contradictions tutajibu huko kuchanganyikiwa kwako na utaelewa Ila kwa leo tujadili mada kwanza. Kwanini unataka kuhama mada ndigu yetu una ajenda gani yaani?
Umekimbia suala la contradiction bila kujibu hata contradiction moja.

Uliponitaka nilete contradictions hapa hukujua kwamba mada si contradiction?
 
Utaruhusiwa kuvuta fegi tu
Kwenye uwo utawala wa khilafah, tutaruhusiwa kweli kuendelea kula kitimotoozi nakufuga au ndio tutakatwa mikono na kupigwa mawe.
 
Muanzishaji wa hii thread kumbuka hapa JF kuna wadau wanakuangalia tu unavyojikoki na mada yako, unakuta wao wanaelewa kuliko wewe, so ulipoanzisha huu mjadala wa kutaka serikali yako ya kidini dunia nzima please, simamie huu mjadala mpaka utakapoenda kurasa za nyuma.
Nimemwambia Quran ina contradictions. Hivyo si kitabu kitakatifu.

Kasema zilete hizo contradictions.

Nikamletea hapo juu.

Kazikimbia zote, hakujibu hata moja.

Anasema mada si contradictions.

Anajisahaulisha kwamba ni yeye mwenyewe aliyenitaka nizilete hizo contradictions.

Muislamu kaogopa challenge!
 
That's why nilimpa tahadhari mapema kabla jua halijachwa!
 
Khilafa itarudi tu ndio sababu America nd Europe hawalali coz wapo kama wayahudi watu wa kitabu wanajua fika Khilafa itarudi tu hili haliepukiki ni swala la muda tu
 
Khilafa itarudi tu ndio sababu America nd Europe hawalali coz wapo kama wayahudi watu wa kitabu wanajua fika Khilafa itarudi tu hili haliepukiki ni swala la muda tu
Tafiti zinaonesha huko Uarabuni Uislamu ulipoanzia, watu wanazidi kuona imani ya Uislamu, na hata imani ya kuwepo Mungu ni potofu.

Ni huku mlikoletewa dini na meli tu ndiyo bado mnang'ang'ania hizi dini za Uislamu na Ukristo.

Hata tunavyoawaliwa na ubepari si wote tunataka
Mkuu naona unavutia sana upande wako,kwanini unalazimisha utawala uwe wa kikhalifa?
Huoni hapo unawaminya wenzako wa Imani nyingine?
Je kila imani ikitaka kujitawala mbona dunia nzima itakuwa ni machafuko?
 
Majini yake ndio yanamuongoza hivyo.
 
Naam haswaaaa mkuu mokaze.

Manake kuna imani ya kuthibitisha na imani ya kukanusha.

Unapothibitisha kitu maana yake unakanusha kinye chake,na unapokanusha kitu maana yake unathibitisha kinyume chake.

Hivyo wapinga dini nao wana imani ya kukanusha dini,wasije sema hiyo sio imani itakuwa kichekesho.
Unajua tofauti Kati ya kuamini na kujua?
 
Back
Top Bottom