Miaka 100 ya kuangushwa Khilafah: Hizb Ut Tahrir yazindua kampeni ya kiulimwengu kwa anuani: "Enyi Waislamu isimamisheni

Tafiti zinaonesha huko Uarabuni Uislamu ulipoanzia, watu wanazidi kuona imani ya Uislamu, na hata imani ya kuwepo Mungu ni potofu.

Ni huku mlikoletewa dini na meli tu ndiyo bado mnang'ang'ania hizi dini za Uislamu na Ukristo.

Mkuu uislam ulianzia saudia then ukaenea Yemen, sham na nchi zingine, kwenye hiyo link yako ya BBC hakuna saudia ambayo ndio kitovu cha uislam, sasa unaposema kuwa huko mashariki ya kati uislam ulipoanzia watu wanaanza kuamka sijui unamanisha nchi ipi ili khali uislam ulianzia saudia.
Unasherehekea uongo mmoja kuupita uongo mwingine.

Nakueleza huko uarabuni Uislamu ilipoanzia watu wanaanza kuamka.

Kama kawaida huku mlikoletewa dini kwa meli mnazidi kuamini.
 
Mkuu uislam ulianzia saudia then ukaenea Yemen, sham na nchi zingine, kwenye hiyo link yako ya BBC hakuna saudia ambayo ndio kitovu cha uislam, sasa unaposema kuwa huko mashariki ya kati uislam ulipoanzia watu wanaanza kuamka sijui unamanisha nchi ipi ili khali uislam ulianzia saudia.
Mashariki ya kati ni Saudia peke yake?

Saudia wanaruhusu kuhoji Uislamu?

Unaweza kumsaidia Mtetea Uislamu mwenzako aliyeanzisha uzi huu kujibu contradictions zilizo katika Quran zinazoonesha Quran ni kitabu kikichoandikwa na watu tu, hakuna utakatifu?

Aliomba contradictions, nikamletea hapa, kazikimbia bila kujibu hata moja.
 
Excerpts

“The biggest thing that led me to atheism is the moral aspect in Islam. How come, for example, a merciful and compassionate God, said to be more merciful than a woman on her baby, permits slavery and the trade of slaves in slave markets? How come He permits the rape of women on the grounds that they are just war captives? These acts would not be done by a merciful human being much less by a merciful God,”[3] Nostic writes.

...

Ben Jebli believes that religion as we know it is “the greatest deception” man has ever been subjected to. In one of his videos, he asks: “We know nothing about God. He exists, but not necessarily as religions describe Him. In every religion He has a different identity and name, and speaks a different language. . . . Can we believe that God is idle to keep changing his names like that?”[4] Ben Jebli denies religions and the sacred books altogether, believing that they were crafted and authored by man. The Quran, according to him, “is not the word of God because it has human imprints. The only thing that says that the Quran is the word of God is the Quran itself.”[5]

Ben Jebli’s book, “Surat al-lah fi al-Quran wa Sunnah” (The Image of God in the Quran and the Sunnah), explores the issue of God’s personification in Islam. Based on his study of the Quran and the hadith, Ben Jebli argues that God’s image as a mightier being, yet with the same human physicality, is in fact a caricature that reflects “poor human imagination.”
 
Waislamu mnaulizwa.

Imekuwaje Allah Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote akabariki watu kuuzwa sokoni katika utumwa, na mateka wa vita kubakwa?

Sijaona jibu bado.

Hapa utakuta watu wengine wanaotetea Uislamu ni Wandengereko ambao babu zao wameuzwa utumwani Uarabuni, kwa baraka za kidini. Wengi wakaenda kuhasiwa wakose hata kizazi.

Sasa hivi hawahawa Wamakonde na Wandengereko wanajinadi nao Waislamu wazuri sana tu!

Pengine kuwapita hao Waarabu wenyewe wenye dini yao.
 
Mkuu ww ata ukijibiwa ni kazi bure coz imaan yako imejijenga kuwa hakuna mungu na pia dini hizi (ukiristo na uislamu)ni uzushi so haina maana.watu kama ww walikwepo kabla yako na wataendelea kuwepo

( إِنَّا هَدَيْنَاهُ السَّبِيلَ إِمَّا شَاكِرًا وَإِمَّا كَفُورًا )

الإنسان (3) Al-Insaan

Hakika Sisi tumembainishia Njia. Ama ni mwenye kushukuru, au mwenye kukufuru.
 
Mbora mbele ya mwenyezi mungu ni mchamungu kwenye dini hakuna mwarabu wala myahudi wala mzungu wala msukuma wala mmakonde mungu anatazama uchamungu wa mtu na si utaifa wala ukabila. kwa kuwa ww ni kama falao wa misiri kuwa hauna imaan hizi za kidini (uislam wala ukristo ) basi haina haja coz kukufahamisha ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Nijaribu. Unaweza kunishawishi.

Pia, mjadala huu si kati yangu na wewe tu.

Kuna maelfu ya watu wanafuatilia.

Jibu hoja kwa hoja.

Ukizidiwa hoja, ni uungwana pia kusema hii hoja imenizidi kimo siwezi kuijibu, ngoja nitafute muongozo kwa ma ustaadh na ma shehe wangu huko nitarudi.

Siyo unaleta ujinga wa kususa mjadala katikati kwa sababu huna hoja, kisha unasingizia mimi sitakuelewa.

Huu ni mjadala mpana zaidi ya mimi na wewe. Huu ni mjadala wa wazi kwa jamii nzima.
 
Mbora mbele ya mwenyezi mungu ni mchamungu kwenye dini hakuna mwarabu wala myahudi wala mzungu wala msukuma wala mmakonde mungu anatazama uchamungu wa mtu na si utaifa wala ukabila. kwa kuwa ww ni kama falao wa misiri kuwa hauna imaan hizi za kidini (uislam wala ukristo ) basi haina haja coz kukufahamisha ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo, si hadithi za watu tu.

Kuna mtu kutoka Morocco kasema yeye alikuwa Muislamu akaacha, kwa sababu alishindwa kuelewa imekuwaje Mungu mwenye nguvu zote, ujuzi wote na upendo wote kabariki utumwa, kabariki mateka wa vita kubakwa.

Amesema haya ni mambo ambayo hata mtu mwenye nia njema tu hatayabariki, sembuse Mungu.

Nimeweka juu hoja zake.

Hujajibu hoja hizi.
 
Ukisema hivyo, ni kama kusema kunyoa kipara ni style ya kusuka nywele!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwanza kabisa, thibitisha Mungu yupo, si hadithi za watu tu.

Kuna mtu kutoka Morocco kasema yeye alikuwa Muislamu akaacha, kwa sababu alishindwa kuelewa imekuwaje Mungu mwenye nguvu zote, ujuzi wote na upendo wote kabariki utumwa, kabariki mateka wa vita kubakwa.

Amesema haya ni mambo ambayo hata mtu mwenye nia njema tu hatayabariki, sembuse Mungu.

Nimeweka juu hoja zake.

Hujajibu hoja hizi.
( وَلِلَّهِ الْمَشْرِقُ وَالْمَغْرِبُ ۚ فَأَيْنَمَا تُوَلُّوا فَثَمَّ وَجْهُ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ وَاسِعٌ عَلِيمٌ )

البقرة (115) Al-Baqara

Na mashariki na magharibi ni za Mwenyezi Mungu. Basi kokote mnako elekea, huko Mwenyezi Mungu yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye wasaa na Mjuzi.
 
Ww tangu muda tu hua unaamini kuwa hakuna mungu so kukushawishi mie siwezi baki na kile unachoamini

Hujajibu hoja. Unahubiri.

Imekuwaje Allah Mungu mwenye upendo wote na uwezo wote akaruhusu na kubariki utumwa?
 
Ww tangu muda tu hua unaamini kuwa hakuna mungu so kukushawishi mie siwezi baki na kile unachoamini
Kuna watu wengi sana wanafuatilia mjadala huu.

Jibu kwa faida yao, si kwa faida yangu.

Muislamu gani unaogopa kujibu hoja na kuutangaza Uislamu?
 
Mkuu naona unavutia sana upande wako,kwanini unalazimisha utawala uwe wa kikhalifa?
Huoni hapo unawaminya wenzako wa Imani nyingine?
Je kila imani ikitaka kujitawala mbona dunia nzima itakuwa ni machafuko?
Mbona Imani ya Ubepari inatutawala na hulalamiki
 
Mkuu uislam ulianzia saudia then ukaenea Yemen, sham na nchi zingine, kwenye hiyo link yako ya BBC hakuna saudia ambayo ndio kitovu cha uislam, sasa unaposema kuwa huko mashariki ya kati uislam ulipoanzia watu wanaanza kuamka sijui unamanisha nchi ipi ili khali uislam ulianzia saudia.
Halafu eti waislam wenzio huwa wanasema uislam ulianzia Eden na Adam alikuwa Muislam. Hahahaha...!
 
Back
Top Bottom