Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Yaani ina maana hujaona kitu positive katika nyuzi hii yote ukakichukua na kujifunza? Jua tu, kuwa negative minds na chuki zinachangia kiasi kikubwa kupata magonjwa yasiyoambukiza na kutudidimiza vijana wa kitanzania.

wewe ni nani mpaka umuhukumu hivyo? Unataka kusema nini hapa? Kwamba mamlaka zinazohusika zinamfumbia macho pamoja na kujua kuwa anafanya hy biashara haramu "sembe" kama unavyodai?

Angalau basi hata unge acknowledge ubunifu wake ktk nyanja ya biashara hii ya migahawa na bar, kuwa amechangia kwa kiasi kikubwa kubadili muonekano na kuleta mapinduzi ktk sekta hii, unajua kuna watu wangapi Tanzania nzm wame copy style ya huyu jamaa?hasa zile meza za mitumbwi, kubandika picha za 'majembe' kwenye kuta n.k? Brother/Sister this guy works real hard, hata kama kuna kitu kibaya nyuma yake anakifanya ( mimi sy hakimu wa hilo) ila anachokifanya kinaonekana wazi kbs na inapaswa tujifunze.


Ndugu, tujenge utamaduni wa kuyaona mazuri kwa watu/vitu na siyo kutafuta mabaya tu sababu hayatusaidii, hata shetani kuna muda ana mazuri yake ujue. Tukijitahidi kujijengea utamaduni wa ku appreciate na kuwa na positive minds namna hy, itachangia sana hari ya kujikwamua kimaisha na kuleta tija ya kweli ktk jamii zetu hasa katika zama hizi za ufinyu wa ajira za kuajiriwa.

Adios!
Hana lolote huyo.Nyuma kuna biashara ya unga. Muuaji mkubwa huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…