Miaka 12 ya Samaki Samaki, mjue "Kalito Samaki"

Yaani ina maana hujaona kitu positive katika nyuzi hii yote ukakichukua na kujifunza? Jua tu, kuwa negative minds na chuki zinachangia kiasi kikubwa kupata magonjwa yasiyoambukiza na kutudidimiza vijana wa kitanzania.

wewe ni nani mpaka umuhukumu hivyo? Unataka kusema nini hapa? Kwamba mamlaka zinazohusika zinamfumbia macho pamoja na kujua kuwa anafanya hy biashara haramu "sembe" kama unavyodai?

Angalau basi hata unge acknowledge ubunifu wake ktk nyanja ya biashara hii ya migahawa na bar, kuwa amechangia law kiasi kikubwa kubadili muonekano, unajua kuna watu wangapi Tanzania nzm wame copy style ya huyu jamaa?hasa zile meza za mitumbwi, kupandika picha za 'majembe' kwenye kuta n.k? Brother/Sister this guy works real hard, hata kama kuna kitu kibaya nyuma yake anakifanya ( mimi sy hakimu wa hilo) ila anachokifanya kinaonekana wazi kbs.

Ndugu, tujenge utamaduni wa kuyaona mazuri kwa watu/vitu na siyo kutafuta mabaya tu, hata shetani kuna muda ana mazuri yake ujue. Tukijitahidi kujijengea utamaduni wa ku appreciate na kuwa na positive minds namna hy, itachangia sana hari ya kujikwamua kimaisha na kuleta tija ya kweli ktk jamii zetu.

Adios!
Alichokifanya hapo ni kutakatisha pesa. Alitoa kwenye biashara haramu na kuanzisha biashara halali. Halafu anakudanganya alikuwa muuza Bar mpaka kuanzisha migahawa yake. Thubutu. Hasemi ukweli. Ukweli ni kuwa ni muuza madawa ya kulevya sema anatakatisha tu pesa ili aonekane anafanya biashara halali.
 
Ugly truth bro, cheers[emoji485]
 
Alichokifanya hapo ni kutakatisha pesa. Alitoa kwenye biashara haramu na kuanzisha biashara halali. Halafu anakudanganya alikuwa muuza Bar mpaka kuanzisha migahawa yake. Thubutu. Hasemi ukweli. Ukweli ni kuwa ni muuza madawa ya kulevya sema anatakatisha tu pesa ili aonekane anafanya biashara halali.
let's stick kwenye ubunifu wa biashara yake mkuu course wangapi wanaweza pewa hiyo capital na wakashindwa fanya lolote?
 
Nina ushahidi ndiyo. Wewe kama hujui. Endelea kushikilia bomba.

Acha zako ni wivu tu.
Mimi napenda sana fatilia watu wanao hustle na kufanikiwa na daima uwezi nikuta nikamfagilia mtu aliekuta pesa kwao akapewa aendeleze business watu kama kina MO kwangu uwa hawana mchango wowote nakua motivated na watu kama KFC, Jackmaa, Diamond coz wanazitafuta pesa unaona wanakula jasho lao na walipotoka panaeleweka.

kwa Kalito mimi naona nimpambanaji sana siwezi mtetea coz sijui nyuma ya pazia kuna nini ni mtu nliemfatilia huu ni mwaka wa 5 since ndo biashara yake inakua ya [emoji91][emoji91] of course jamaa anajichanganya sana na watu ata pale Mlimani kipindi anafungua nlimkuta yuko na wamasai na anabeba magogo kama sio boss
May be umesema anauza sembe kisa anaukaribu na watu baadhi inaosemekana wanauza sembe kama kina Kinje, japo kwangu mimi najua hawa ni baadhi ya watu walio msaidia idea ya mgahawa wake pamoja na mambo mengine.

Mwisho kabisa nasema tufanye kazi, ata iyo sembe ni kazi pia kupita na mzigo ukawa salama sio kitu kidogo kama unabisha kajaribu na wewe.
vijana au watumiaji hawalazimishwi kutumia bali ni upumbavu wao na ukosefu wa elimu za matumizi ya madawa ya kulevya ( unasema wanaua vijana wakati vijana nowdays wakikosa wanaenda kula mavidonge ya valium watoe alosto) so acha wivu usio jenga fanya hustle zako mkono uende kinywani
 
Tatizo wengine hapa watakuja wanajifanya wanamjua jamaa baada ya samaki samaki za masaki na mjini maybe na mlimani. Hawajui jamaa alianzia mbezi beach makonde na ndo wa kwanza kuleta theme ya culture kwenye biashara ya bar. Kila sehem watu wakaanza kutengeneza meza za mitumbwi, na vitenge kwa wahudumu.

The dude is good
 
Acha zako ni wivu tu.
Mimi napenda sana fatilia watu wanao hustle na kufanikiwa na daima uwezi nikuta nikamfagilia mtu aliekuta pesa kwao akapewa aendeleze business watu kama kina MO kwangu uwa hawana mchango wowote nakua motivated na watu kama KFC, Jackmaa, Diamond coz wanazitafuta pesa unaona wanakula jasho lao na walipotoka panaeleweka.

kwa Kalito mimi naona nimpambanaji sana siwezi mtetea coz sijui nyuma ya pazia kuna nini ni mtu nliemfatilia huu ni mwaka wa 5 since ndo biashara yake inakua ya [emoji91][emoji91] of course jamaa anajichanganya sana na watu ata pale Mlimani kipindi anafungua nlimkuta yuko na wamasai na anabeba magogo kama sio boss
May be umesema anauza sembe kisa anaukaribu na watu baadhi inaosemekana wanauza sembe kama kina Kinje, japo kwangu mimi najua hawa ni baadhi ya watu walio msaidia idea ya mgahawa wake pamoja na mambo mengine.

Mwisho kabisa nasema tufanye kazi, ata iyo sembe ni kazi pia kupita na mzigo ukawa salama sio kitu kidogo kama unabisha kajaribu na wewe.
vijana au watumiaji hawalazimishwi kutumia bali ni upumbavu wao na ukosefu wa elimu za matumizi ya madawa ya kulevya ( unasema wanaua vijana wakati vijana nowdays wakikosa wanaenda kula mavidonge ya valium watoe alosto) so acha wivu usio jenga fanya hustle zako mkono uende kinywani
Nani hafanyi kazi ? Mtu akisema ukweli anaonekana ana wivu.Hahahahahh.Bongo Bwana huyu ndo role model wako ???Poleni vijana.
 
Kama huna ushaidi na hicho unachokidai mkuu, hoja yako itakuwa haina tofauti na maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa na mafundi washona viatu pale posta.

Shida yako kwake ni ipi mkuu? kuanzisha biashara kwa kutumia "pesa chafu" kama unavyodai au yeye kutumia ubunifu wake kufanikiwa kibiashara? Hapo la mhm na la kujifunza ni ubunifu wa biashara zake na vipi ameweza kuendelea ku survive na kuwa mfanyabiashara mkubwa ktk eneo hilo.

Lakini yakupasa ujue ya kuwa, kutoa pesa toka kwa source yyt ile, iwe halali au haramu na kuanzisha biashara, ni kitu kingine.....na kufanikiwa au kuifanya hy biashara ikue na kudumu ni kitu kingine.

Hakuna mfanyabiashara mkubwa hata mmj, ambae alianza au anaendelea kufanya biashara bila kufanya kitu kinyume na sheria na taratibu, ingawa mimi si advocate mabaya kwenye biashara, ila nachojaribu ni kuangalia mambo ktk jicho la tatu. Kuna wanaowadhulumu wafanyakazi wao, kuna wanaokwepa kodi, kuna wanaoua n.k.

Ila bado mimi sitaki kuamini kama inteligensia yako iko vzr sana, kuliko ya waliopewa mamlaka hayo, ambao hadi leo hawajampeleka mahakamani.

Nakusihi dada yangu fanya kazi kwa bidii mpk na wewe siku moja tuje tukuite majina kama freemason, tajiri wa ngadu, muuza sembe, punda n.k maana ndy tunayoyaweza, ila kwa sasa wacha jamaa atunyooshe sisi wavivu na waoga wa kuchangamkia fursa.

Adios!
Alichokifanya hapo ni kutakatisha pesa. Alitoa kwenye biashara haramu na kuanzisha biashara halali. Halafu anakudanganya alikuwa muuza Bar mpaka kuanzisha migahawa yake. Thubutu. Hasemi ukweli. Ukweli ni kuwa ni muuza madawa ya kulevya sema anatakatisha tu pesa ili aonekane anafanya biashara halali.
 
Kama huna ushaidi na hicho unachokidai mkuu, hoja yako itakuwa haina tofauti na maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa na mafundi washona viatu pale posta.

Shida yako kwake ni ipi mkuu? kuanzisha biashara kwa kutumia "pesa chafu" kama unavyodai au yeye kutumia ubunifu wake kufanikiwa kibiashara? Hapo la mhm na la kujifunza ni ubunifu wa biashara zake na vipi ameweza kuendelea ku survive na kuwa mfanyabiashara mkubwa ktk eneo hilo.

Lakini yakupasa ujue ya kuwa, kutoa pesa toka kwa source yyt ile, iwe halali au haramu na kuanzisha biashara, ni kitu kingine.....na kufanikiwa au kuifanya hy biashara ikue na kudumu ni kitu kingine.

Hakuna mfanyabiashara mkubwa hata mmj, ambae alianza au anaendelea kufanya biashara bila kufanya kitu kinyume na sheria na taratibu, ingawa mimi si advocate mabaya kwenye biashara, ila nachojaribu ni kuangalia mambo ktk jicho la tatu. Kuna wanaowadhulumu wafanyakazi wao, kuna wanaokwepa kodi, kuna wanaoua n.k.

Ila bado mimi sitaki kuamini kama inteligensia yako iko vzr sana, kuliko ya waliopewa mamlaka hayo, ambao hadi leo hawajampeleka mahakamani.

Nakusihi dada yangu fanya kazi kwa bidii mpk na wewe siku moja tuje tukuite majina kama freemason, tajiri wa ngadu, muuza sembe, punda n.k maana ndy tunayoyaweza, ila kwa sasa wacha jamaa atunyooshe sisi wavivu na waoga wa kuchangamkia fursa.

Adios!

Acha kutetea upuuzi na kuandika magazeti mareeefuu yasiyo na point.
Huyu akiwa role model wa watu means wakauze madawa nao waweze kufikia alipo? Nani asiyejua Barman Tanzania analipwa hela mbuzi?
Mtu anayetakatisha fedha huwezi kumsimamisha popote useme muigeni!!!!!!! Fanya kitu halali fanikiwa and BE A GENUINE ROLE MODEL with your creativity !

Nyie ndio watetea ujinga mnafanya watu watafute easy money waishi vizuri, hamuangalii wala kuwa concerned na hela halali mnachoangalia ku win tu whether kwa upanga au kwa kuiba then usimame jukwaani udanganye watu. Cut the crap boy!
 
Nani hafanyi kazi ? Mtu akisema ukweli anaonekana ana wivu.Hahahahahh.Bongo Bwana huyu ndo role model wako ???Poleni vijana.

Kwangu sio role model namuona ni mpambanaji wa ukweli, bongo hii nani alileta style ya culture kwenye mabaa kama hawajaiga kwake, tatizo ni kuwa watanzania ni wavivu sana mpk kubuni vyao wanakalia majungu
 
Back
Top Bottom