Miaka 18 ya upotevu wa maisha ya Yesu Kristo. Je, nini hasa siri yake na wanaficha nini?

Kabisa
Na ufalme wa Mungu umo ndani mwetu
 
Naungana na wewe mleta mada,katika chimbua yangu kwa habari za mwalimu yesu nilibaini kuwa philosophy hii alijifunza kutoka katika shule ya CYNICISM ambayo iliweka makao katika mji wa Gadara umbali wa mtu mzima kutembea siku moja kutoka Nazaret.Ikumbukwe kwamba shule hii ya kufikiri ilitoka Ugiriki na kuenea Uyahudi mpaka Urumi.Mwalimu huyu aliendelea kusaka maarifa sehemu mbalimbali za dunia aka'syncretize folklore' na kuunda Christian cult.Wafuasi wa philosophy hii huwa hawana chochote kichwani na hivyo kumilikiwa kifikira na makuhani wao.
 
Kuna kitu hapa hujakijua ukisoma Yohana 21:15 unasema kama mambo aliyoyafanya Yesu
Kuna kitu hujajua bado soma yohana 21;25 inasema kama mambo yote aliyoyafanyaYesu yangeandikwa basi vitabu visingetosha,umeelezwa machache kwenye Biblia ili upate kuamini,sasa usianze kusema miaka 18 sijui imefichwa hakuna kitu kama icho vingi amefanya Yesu vimeachwa maana ni vingi sana wana wanajenga nadharia kama kuna vitu vimefichwa wkt Biblia imeeleza kila kitu,...
 
Kumbe muongeaji ni shetan sasa utakubalo vip hbr za Yesu
 
Uongo mtupu
 
Je alieahi kuwa na mwanake?au kutongoza?Je alitahiriwa?
 
Inasemekana alienda India huko akajifunza kutoka kwa imani zao na kuna mwanahistoria ya kirusi inaitwa Nikolai Notovich anadai kwamba wakati wa kipindi hicho Yesu alikuwa india na tibet na anadai kwamba alikuta rekodi katika hekalu la Hemis huko Ladakh, India, zikieleza safari zake huko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…